mzima Rose? tunashukuru kwa kutuelimisha. mi naomba kujua jinsi ya kushika mimba especially mtoto wa kike. Mi nimeanza period tarehe 17 Juni, 2010 je siku zipi ni vema za kushika mimba. ubarikiwe
kwa mimi najuwa siku kumi kwanzia siku ya hedhi ni safi yani hata kama ukifanya mapenzi siku hizo huwezi kukamata mimba na baada ya hapo siku kumi zinazofwata ni mbaya siku hizo unaweza kukamata ujauzito na baada ya siku hizo mbaya kumi nyengine zote ni safi hata kama ukifanya mapenzi huwezi kukamata ujauzito...
hii ni njia niitumiayo mimi je wasomaji mana smawazo mengine?
ROSEMARY MIZIZI..








Samahani kama nitakuwa nimekosea. Kwa ninavyofahamu mimi inategemea na mzunguko wako wa hedhi. Mf. kama mzunguko wako ni siku 28 basi ina maana itakapofika siku ya 10 - 16 waweza kupata ujauzito, wengine hata aiku ya 17 pia. Ila kwa wewe unaetaka mtoto wa kike siku ya 15 itakuwa ni nzuri kwako.
ReplyDelete