Friday, June 4, 2010

MPENZI ANATAKA NYUMA....

kuna dada mmoja amenihadithia jambo akiomba ushauri anasema ana mpenzi wake wanaopendana sana wamekuwa pamoja kwa miaka mitano sasa, kila siku ya maisha yao haijawahi kutokea akajutia kuwa na huyo mpenzi wake..
kwa muda huo wote walikuwa wakikutana kimwili kwa njia ya kawaida tu ile ambayo inaruhusiwa kihalali na wala kulikuwa hamna tabu wala hamna mtu ambaye hakuridhika na starehe ambayo mwenzake anampa..
anachoshangaa yeye ni kwamba mwezi wa tatu huu sasa jamaa ananuna hataki hata kwenda nyumbani kwa huyo dada kisa jamaa amechoka kula mbele peke yake anataka kanga igeuzwe upande wa pili..
huyu dada alikataa na kumwambia hiyo siyo sahihi kwake, kitu mpenzi wake alichomjibu ni kwamba kwani wewe upo nji gani wasichana wenzako siku hizi wengi huwapa wapenzi wao upande wa pili kwa nini wewe hutaki kunipa? kama hutaki inamaana utaanza kumpa mtu mwengine ama unaona mimi sifai?
yule dada kwa uchungu anasemakila siku alikuwa anampigia simu mpenzi wake akilia akimuomba aachane na hayo mawazo, lakini kijana bado anadai anataka, anasema sasa umekuwa ugomvi mkubwa sana kati yao na anahisi wataachana kinachomuuma nikwamba anampenda sana mpenzi wake huyo, na mpenzi wake haelewi somo lengine kabisa huyu dada sasa hajui afanye nini...
akiomba ushauri kwa rafiki zake wengine wanamwambia ampe tu huyo mpenzi wake kwani atabadilisha wanaume wa ngapi? wengine wanamwambia hiyo ni dhambi kubwa lakini akitaka anaweza tu kumpa kwani dhambi ngapi amefanya tokea amezaliwa iwe hiyo moja? wengine humshauri kwamba siku hizi mpaka machangu wengi hutoa nyuma ama unataka aende akachukue kwao akileta magonjwa je?
wewe msomaji unamwambiaje?

Reactions:

84 comments:

 1. mdogo wangu nakusifu sana sana kwa msimamo wako kutokubali kuvunjiwa utu wako kwa mambo ambayo ni laana kwa mwenyenzi mungu na pia ukikubali itakuletea matatizo makubwa sana baada kwa maisha yako usijeukajaribu hata kidogo huyo mwaume hakupendi hata kidogo maana angekuwa anakupenda asingejaribu kukuambia huo upuuzi shikilia mzimamo wako hivyohivyo huku ukimwomba mungu ambadilishe mawazo huyo rafiki wakomaana hakuna linalo mshinda mungu najua anaiga tabia ya marafiki na hao marafiki zako wanakuambia ukubali usiwasikilize wanakudanganyia hao ni mapepo kaa nao mbali hizi ni siku za mwisho haya yoote hayana budi kutokea nahakujambo linalo mchukiza mungu kama hilo tendo mwenye akili na afahamu hili

  ReplyDelete
  Replies
  1. Pole sana, yote juna ni u-magharibi unaotuingia na wengi wetu tukawa tunameza bila kutafuna! Najua kumwacha rafikiyo haitakuwa rahisi na pengine itakutatiza lakini heri kujikwa dole kuliko kujikwaa ulimi, au nusu shari kuliko shari kamili.
   Kumbuka mwamamume anapokujamii kwa nyuma hupanua tupu yako ya nyuma kupita kiasi na wakati mwingine ukawa huwezi kujimudu pale unapobanwa na haja kubwa! Kinyesi kinatoka haraka, hata ukitimua mbio kwenda chooni usishangae ukijinyea kabla hujafika!!!

   Nimeongea na mashoga wasio wachache wakaniambia inawapa raha ajabu, na nimeongea na wanaume wanaofanya hivyo na wake zao, ushahidi nimepata, na nakushauri ubaki ulivyo, ushikilie msimamo wako badaya ya kujivua utu. Kama wanaume wako wengi hutamkosa mwingine anayekutakia mema, mshawishi wako huyo aachane na fikra zake ukifanikiwa utamshukuru Mwenyezi na kama ikisindikana mwache!

   Delete
 2. Nakushauri mdogo wangu usithubutu kumkubalia hiyo tabia yake chafu kwani utapata madhara wakati wa kujifungua pindi utakapoamua kuzaa.Kitendo hicho siyo cha siku moja kwani ukishamuonjesha atakusumbua kuwa umpe kila atakapohitaji.Kwa upande wangu mimi naona kuwa mapenzi yake kwako yamepungua ndo maana anaanzisha mambo yasiyofaa.Sidhani kama kweli mtu mzima mwenye busara zako ,uliyelelewa katika maadili ya dini unaweza kufanya jambo hilo.Fanya maombi ili huyo pepo mchafu aliyemshika aweze kumuachia ili muendelee na mapenzi yenu katika hali ya kawaida

  ReplyDelete
 3. uyo dada ampe 2 kwani samaki aliwi upande moja lazima atagewa upande wa pili.

  ReplyDelete
  Replies
  1. hivi unawezaje kufananisha maisha ya binadam na samaki? tumia akili wewe kama ndo hivyo mbona kuku anasehem moja tu na ndo hiyohiyo anafanyiwa mabo yote.
   dada kati ya watu ambao hawatauona ufalme wa MUNGU NI WAFILAJI

   Delete
 4. Mdogo wangu, usifanye kosa ukasema ati uumpe mara moja basi, ndiyo itakuwa mchezo wa kila siku. Na ukiona anakudai hivyo jua amekwisha onja mahali. Usimkubalie katu kwani matumizi ya nyuma yana madhara kwa maungo yako. Utaaibika siku ya kujifungua, itafika muda itabidi badala ya kuvaa pads ukeni uweke mkunudni maana utakuwa unatoa maji maji saa zote. Ya nini shida zote hizi ukiacha hiyo ya kutumia tigo ni dhambi hata sodoma na gomora waliadhabiwa kwa hilo? Kama hataki kwa njia ya kawaida, achana naye si wako wala hakufai kabisa. Mwanaume akikudai tigo jua hakujali, hakupendi wala kukuheshimu, ana kutamani tu!

  ReplyDelete
 5. Hao waliotoa coment zao watatu wako sahihi kabisa, NYONGEZA NI HIVI, Ukimpa tu siku ya kwanza, lazima aukuchubue, ukishachubuka utaenda kujisaidia chooni, kinyesi kingine kitakwama kwenye michubuko hiyo, kisha kitasababisha bacteria mkunduni ambao wataotesha vipele vidogo vidogo ambavyo vitakuwa ninawasha washa kiutamu., nawe utahitaji kukunwa, na kukunwa kwake ni yeye kuingiza uume tena kisha sehemu inapanuka na kuanza kutoa maji maji ambayo yatakufanya uyazuie kwa padi mkunduni.

  Kwa kuwa mkundu utakuwa mkubwa, siku ukitaka kujifungua, ukiambiwa na ma nessi sukuma utakuwa unasukuma sehemu mbili, ukeni na mkunduni, hivyo kusababisha nguvu ya kusukuma mtoto ipungue na hatimaye yatakuwa yanatoka mavi badala ya mtoto, UTAIBIKA BINTI.

  USITHUBUTU kutoa
  "TIGO" kama mdau anavyoiita hapo juu au KINYEO kwa ajili ya kumfurahisha, Atakukimbia na utajuata kumfahamu, Kwa kuwa unapenda mueleweshe akikataa kata kata achana naye huyo si riziki.

  Nyie mabinti, kuweni kama wacheza mpira, Wanaziacha timu zao na kuhamia timu nyingine ingawa timu za wali wnazipenada, Unadhani RONALDo alikuwa haipendi manchester, lakini aliiacha, Achana naye, wala haufi, utasikitika kisha utarudi hali ya kawaida.

  Hata mtu anayempenda anaweza akafa, akifa mna wewe utakufa? usiseme huwezi kumuacha huo ni upuuzi.

  ReplyDelete
 6. Mimi mume wangu mwenyewe wa ndoa alinitamkia wazi kuwa siku yoyote mwanaume yeyote awe ni uliye na mahusiano nae au hata kwenye ndoa nae akikuomba tigo na ukampa kwa kudhani unamfurahisha au labda unamridhisha asitoke nje ya ndoa, ni bure kabisa kwa sababu cha kwanza atakutoa thamani ya utu wako, atakudharau na hatakuheshimu siku zote utazoishi kumjua yeye hata kama wewe ni mke wake na hatakupenda. Sasa ndugu yangu,hayo mimi niliambiwa na mume wangu ambaye ni naamini ni mwanaume kama walivyo wanaume wengine(pamoja na huyo wako) labda tofauti ni busara tu,iweje wewe utetereke katika hilo.kuwa jasiri na mwenye msimamo tena usiwe muoga dada ndo atafahamu kuwa wewe ni mwanamke na huko tayari kutetereshwa na mambo yaliyo kinyume na maadili ya kidini na hata jamii kiujumla.Hakuna linaloshindikana kwa Mungu,funga kwa maombi na utaona matokeo yake,Mungu hamtupi mja wake atambadilisha na kama hatabadilika jua anakuonyesha kuwa huyo si wakoooooo!

  ReplyDelete
 7. wote nyie wazushi tigo ni dhambi kubwa mno hata shetani hashauri watu wafanya hivyo, mwambie kwanza si na yeye ana nmkundu mwambie naye akafirwe aone machungu yake then atakuja kusimulia

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kama ikitokea jamaa akaambiwa na akakubali, Akienda kufirwa yeye mwanaume atainjoi zaidi coz kimaumbile/kitaalamu wanaume huinjoi zaidi kufirwa kuliko wanawake, atapata machungu kidogo siku ya kwanza, na akikutana na anayejua kufira vizuri anaweza asipate kabisa, hilo linaweza kumfanya huyo mwanaume awe 'bi' na atapenda zaidi kufanya mchezo huo na kufanyiwa! ushauri wako utakuwa haujasaidia kitu zaidi ni kuongeza tatizo jingine.

   Delete
 8. Mawazo yenu mazuri ila yanaonekana yameelemea upande mmoja tuu,yaani katika kumdefend mwanamke 2 na kumuona mwanaume ni mkosaji kumbukeni kuwa kuna wanawake wengi ndo washawishi wakubwa wa mambo hayo..tena huwezi kuamini anakuhamisha stesheni bila kujijua..Na pia Kwanini hamsemi kuwa ni madhara pia kwa mwanaume anaefira mkundu kuna kuziba tundu la mboo na mrija kujaa mavi haya yote hamuyaoni? Hii ni dhambi kubwa kwa itikadi zote...Kufira ni dhambi na mkosi mkubwa sana!

  ReplyDelete
 9. Da!pole kwa majaribu DADA huyo akufahi kabisa kama ukiendelea naye atakufira kabisa muepuke kesha fila huyo kumbadilisha ngumu sana ww chukua tym yako wanaume wapo wengi sana! kwani ulizaliwa naye huyo akikutumia nyuma kukuacha ni raisi sana utakuwa na thamani tena!jaribu maisha mengine uone ukimganda utajuta maisha yako yote ok DONT BE FOOL, BE STRONG OK DADAA, GOOD LUCK.

  ReplyDelete
 10. duuh........me ata ckushauri dada uumpe kataa kabsa,tena ikiwezekana mtose kwani hayupo peke yake duniani...mpotezee zngatia msimamo wako

  ReplyDelete
 11. jamani mi nafikiri huyo jamaa mtafutie mwenzie, akija afirwe yeye kwanza kuonyesha mfano kwa ahadi ya wewe kumpa kesho. na akimalizwa unamwachilia mbali fedhuli hayawani huyo!

  ReplyDelete
 12. achana nae huyo na inawezekana tayari kuna ye tayari analiwa tigo na mishefa ya jiji sa anataka kuhakikisha kwako kama utapata raha anayopata yeye wakatri analiwa tigo!

  ReplyDelete
 13. Anayesema Mtunduni ni dhambi na atoe mistari tuone- i have dug on this topic deeply, mke wangu mama mchungaji, hatujaweza kupata mstari unaosema ni dhambi, dhambi ni wewe unaetembea na mwenzio wakati hamjaoana. Huyu dada anastahili ushauri wa kisayansi wa mazuri na mabaya ya tabia hii, na mabaya mengi yanahusuiana na kutokuwa mwaangalifu, aamue mwenyewe. ila asiamue kwa maana ya kutaka kumridhisha mtu yeyote. Mtundu ni nerve end, kuna concentation kubwa ya nerves kule, kama mkeo anateseka kupata bao, mguse kule taratibu tumia vilainisho uone, kesho atataka tena. mfano mzuri mwingine wa sehemu yenye nerve ends ni chuchu, watu wengi (wavulana na wasichana) ukiwagusa chuchu wanapata stimu sana, ni kwa sababu ya chuchu kuwa nerve end kwa hiyo kuko sensitive sana, mtundu hivyohivyo. Hii ni sayansi, wasio shule watataka nishambulia mimi, kafungueni books u will see. Pia nikweli kwa sababu ya ngozi tete unaweza chubuka pale mtundu usipotwaliwa kwa makini, na ukapata infections, kwa hiyo kama anaamua kufanya hili ajifunze na hasa bwanake ajifunze jinsi ya kufanya, kunahitajika vilainishi vya kutosha.

  ReplyDelete
  Replies
  1. JAMANI KASOME 1 WAKORITHO 6-9 dhambi iko palepale huo ushauri onaoutoa ni DEMIONIC advice- itumie mwenyewe ukafanywe wewe. NI DHAMBI,... thats it.

   Delete
  2. Nyinyi nyote mnamshauri vibaya huyu dada, na wasomaji wengine! Hii ni dhambi kumbwa aache hata kufikiria. Lakini pia amefanya dhambi ya kutombwa nje ya ndoa. Hivyo, wote ni wazinifu na wanatakiwa waaache kabisa kamchezo kao!

   Delete
  3. huyo anaesema hakuna maandiko amfuatilie Paulo vzuri, amesema wala wafiraji....nk hawatauoona ufalme wa Mungu...

   Delete
 14. Hivi dada bado unaye huyo mwanaume?mfukuze ili ajue kuwa anachokitaka kwako ni haramu,ukiendelea kuwa naye anafikiri kuwa ipo ck utampa.kuna mwanamke ambaye amemfundisha huo mchezo ndo maana anataka na wewe akufire,mpigie cm sasa hivi mwambie kuwa humtaki kutokana na mchezo wake huo mchafu ili akuheshimu,atakuwa akikuona anaficha sura yake,ukiona anaendelea kukusumbua mpereke polisi wakusaidie ni kosa la jinai hilo na umtoe kwenye magazeti,.

  ReplyDelete
 15. mkimbie kama ugonjwa wa kuambukiza! madhara kwako wewe mdada sio yeye...ACHANA NAYE HAKUFAI. NI NGUM KUKUBALI LAKINI UKWELI NDO HUO.

  ReplyDelete
 16. mi nakubaliana na hao wanaosema usikubali uko ni kukudhalilisha kama vp mpige kibuti kwani yupo peke yake mwanaume?mwambie aende kwa huyo anaempaga nyuma uko ni kumkufuru mwenyezi mungu.

  ReplyDelete
 17. Nimesoma fitna zenu. Jamani mapenzi ni majadiliano kati ya wapendanao na nadhani kama wana mawasiliano mazuri kila mtu atamsikiliza mwenzake na ataheshimu sababu za mwenzake au kutafakari sababu zake.
  Inawezekana mdada kabeba bakuli/pakacha na jamaa anaogelea hivyo hasikii kitu kabisaa akadhani labda 'tigo' ni suluhu.
  Jamaa agharamie plastic surgery 'kuajust'vinginevyo isiwe tabu.
  Pia inawezekana huyu jamaa keshamchoka na atatafuta afanyeje amwache, hivyo bibie inawezekana unamng'ang'a jamaa. Pima uamue mwenyewe uchukue maamuzi magumu.

  ReplyDelete
 18. dadangu we muulize tu nani alimshauli kwamba utamu uko mkunduni?kama anataka utamu wa mkunduni angemuoa mwanaume kwani mwanaume ndiye asiye na jinsia kama yako

  ReplyDelete
 19. Mwj. Thadews M. MlendukaOctober 30, 2011 at 6:56 AM

  Loh! Kumbe kuna watu wanaotumia blogs kama hizi vibaya! Mtu anataka tutoe mistari aone kama kweli mapenzi kwa njia ya haja kubwa ni dhambi! Mwanzo 19:1-5 inaonesha kuwa mapenzi ya njia ya haja kubwa ni moja ya dhambi zilizo angamiza miji ya Sodoma na Gomora. Ushahidi ni pale hao wanaume walipotaka kuwalawiti/ kuwanajisi hata malaika wa Mungu. Biblia ikielezea kilichowatokea hao malaika walipokuwa nyumbani mwa Lot, inasema "Before they had gone to bed, all the men from every part of the city of Sodom...called out, 'where are the men who came to you tonight?n Bring them out so that we can have sex with them'" (NIV) Inawezekana hawakujua kuwa wale ni malaika, lakini walijua kuwa walikuwa WANAUME.

  Mambo ya Walawi 18:22 inakataza mwanaume asimwingilie mwanaume mwingine, ni dhambi. Kwa sababu hiyo, sikubaliani na wanaomshauri huyo mwanaume kwenda kutafuta mwanaume mwenzake.

  Kwa upande wa wanawake, Warumi 1:26 inasema, "...hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili".

  Halafu unataka kujenga hoja ya kisomi ya kuhalalisha "uchafu" huu, kwamba njia ya haja kubwa ni more sensitive kwa sababu ni nerve end. Hilo hata sisi tunalijua, lakini ni dhambi. Kwani wewe waweza kula sumu hata kama ni tamu?

  Na mwingine, kwa lugha ya kashifa, anasema pengine huyo dada ana "bakuli" au "pakacha", ili mradi tu ahalalishe dhambi. Hii ni kashifa kubwa sana, na ni matusi kwa huuyo dada, pamoja na wanawake wengine.

  1 Wakorintho 6:9,11 inasema, "Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike, waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala wafiraji, wala walawiti..."

  Wote mnaounga mkono "uchafu" huu, hata kama mliandika kwa kutania, tubuni, kwa sababu mlichoandika ni "sumu" ya kuangamiza roho za watu. Kumbukeni, iko siku ambayo sote tutasimama mele ya kiti cha hukumu, na kutoa hesabu ya yote tuliyotenda. Na matendo yetu ya hapa duniani ndiyo yatakakayoamua kwamba tunautumia umilele wetu wapi: paradiso, au jehanam.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Big Up Teacher!i like that!what your saying is very very true!inanidiwatubu kweli kwa kumaanisha!blessed you!

   Delete
 20. Mmh!!!!!!!!! makubwa......Ila siyo mbaya ukimuonjesha japo kidogo tu mwenzio....!

  ReplyDelete
 21. MWJ.THADEWS Nashukuru sana kwa kuwapa ukweli wale wote wanaoshabikia UCHAFU huu uliokithiri!!
  Ama wanataka au hawataki, Hiyo ni dhambi kubwa sana na wanapaswa watubu sasa. Kama "nerve end" zipo hata kwa wanaume, sasa akishabikia kwa mke wake ashabikie na ushoga

  ReplyDelete
 22. Huyo mwanamme ni fedhuli mbwa koko asiye na haya, Naona huyu dada kachelewa kumuacha, dada akishakufanyia hicho kitendo, atakuzarau na pengine akuache,, mwambie abaki na hao changu wenzake... ondoka zako mbioooooo!!!!!!!!!!!!!
  Hicho kitendo hata shetani anakimbiaga....

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nauliza hivii,amwache kwani wamefunga ndoa!!!wapo ndani ya uzinzi ambayo ni chukizo mbele za Mungu!dawa ni kutubu nakuacha huo uzinzi namalipizo yake nikuwa mbali na huyo mwanaume,atapata amani ya kweli ndani yake na kudumu bila huyo mwanaume!Mungu ni mwema sana na mwaminifu,yeye sio binadamu na aseme uongo kulitimiza neno lake!

   Delete
 23. Mungu aturehemu wanadamu maana tunamchukiza sana,hili si la kufanyia utani hata kidogo. Ni dhambi na pia ni hatari kwa afya.Tafuta ushauri wa kiimani kwa kiongozi wako unakoabudu,au kwa washauri wa mahusiano kabla hujamuacha mumeo. Inawezekana ukamsaidia mumeo na ukaokoa ndoa yenu.Kuachana sio dawa ya kila tatizo la kimahusiano.Pia usimkubalie na usijaribu hata kujaribu mchezo huo mchafu.Mungu ameweka hazina yote ya raha kwenye tendo la ndoa halisi, jifunze zaidi namna ya kumfanya mumeo aone uzuri ulionao,na raha ya tendo la ndoa.Hongera kwa kutafuta ushauri.

  ReplyDelete
 24. Mwanaume huyo amekula tigo mahali. Kwa kawaida sisi wanaume tukionja mkundu hatuachi tena. Mkundu una mnato wake wa tofauti unabana mboro vizuri lakini kwa mwanamke n hasara kubwa sana ambayo haitibiki milele. Mkundu hupanuka sana na kutoa mavi peke yake bila kusukuma tena ukitembea tafadhali dada kama upo duniani chini ya jua usitombwe mkundu plz. Thanks

  ReplyDelete
 25. SINA HAKIKA KAMA HUYU DADA KWELI AMEOMBA USHAURI KWA KUWA NIKISOMA NAONA ANASEMA ANAMPENDA SANA MPENZI WAKE LAKINI HATAKI KUMPA MKUNDU. NAMSHANGAA. SASA ANAMPENDEA NINI. MWANAMKE ANAMPENDA MWANAUME KWAKUWA ANAMFANYIA VITU ANAVYOVIPENDA. KAMA HAFANYI HIVYO HAKUNA UPENDO WALA MAPENZI. NI KWELI MKUNDU NI MTAMU WALA HAKUNA UBISHI. ANAYEBISHA HAJASOMA. HOJA YA UTAMU IKO PALEPALE. DHAMBI NAYO IKO PALE PALE. JE SULUHU NI NINI? WOTE MMETOA MAONI NA WALA SIO SULUHU.MMETOA HISIA ZENU TU. SULUHU SI KUTOMPA MAANA SIO LENGO LAO KAMA WAPENZI. WALA SULUHU SIO KUACHANA MAANA KAMA MMOJA AMEPOTOKA KWA KUTAKA MKUNDU DHAMIRA YAKE HAIBADILIKI HATA HUKO ATAKAKOKWENDA ATATAKA MKUNDU. SASA NASHAURI HAYA: HUYU MWANAMKE AMTAFUTIE PSYCHOLOGIST MPENZI WAKE WAKALISHWE PAMOJA WAPEWE USHAURI NASAHA NA HUYU MWANAMKE AJITAMBUE NI MAHALI GANI ANAKOSEA HADI MWENZIE ANATAMANI KUMLA NYUMA BADALA YA MKUNDU. AMIN AMIN NAWAAMBIENI HAKUNA KITU KITAMU KAMA MKE AU MPENZI WAKO ANAPOKUPA KUMA ILIYOAMBATANA NA BASHASHA ZA KIMAPENZI NA CHACHANDU ZA MAHABA ... WALA HUTATAMANI KULA MKUNDU. SINA HAKIKA ILA NADIRIKI KUSEMA KUNA TATIZO LA KIMAHABA KWA MWANAMKE. MIMI NILIKUWA NAPENDA SANA MKUNDU LAKINI MKE WANGU ALININYIMA NA HATUKUACHANA ILA ALINISAIDIA HADI LEO SIJAMLA MKUNDU NA WALA SINA TENA HAM YAKE NA NI MWAKA WA TISA SASA.... ACHENI KUSHAURI KWA KUTOA HISIA ZENU.
  WOTE WANAOUNGA MKONO KUFIRA AU KUFIRWA WAMEWAHI KUFIRA AU KUFIRWA. WALE WANAOPINGA ISIPOKUWA KWA MISINGI YA DINI BASI WAKIFIRWA AU KUFIRA WATAKUWA NA DHANA HIZOHIZO. CHA MSINGI NI KUTIBU TATIZO. KUNA SABABU NYINGI SANA ZINAZOFANYA WATU KUPENDA KUFIRA AU KUFIRWA

  ReplyDelete
 26. mi napenda kufirwa jamani, wanawake wengi tu wanapenda, so acheni kujishaua kuwa hampendi

  ReplyDelete
  Replies
  1. njoo unionjeshe utamu. nitakufira hadi utakuwa hupendi tena!

   Delete
  2. njoo basi tupeane raha wewe upendae kufirana wewe jaman email me engineerbigboy@yahoo.com

   Delete
  3. wanamme ndo zenu hamnaga mpya zaidi ya majisifu kumbe zero

   Delete
  4. Muogopeni Mungu jamani,kwani kizazi hiki ni zaidi ya Sodoma na Gomora(kimepitiliza),kwani atujui muda wala saa,vyote vilivyoandikwa kwenye vitabu kama dalili za kurudi kwake vimeshatimia wandugu!

   Delete
 27. kwa wakristo soma waroma 1:26-33 ujuwe je kufira ama kufirwa biblia inasemaje??????? kwa ufafanuzi nitembelee zkisetu@yahoo.com

  ReplyDelete
 28. mkundu una raha yake ukipata mtaalamu wa kufira anayejua rules za kufira

  ReplyDelete
 29. naomba kama yupo dada mzoefu wa mambo hayo aniandikie kwa mail hii kawaida1977@yahoo.com,ili anifundishe mambo hayo

  ReplyDelete
 30. mi mbona natoa tingo tena kwa kila style but sijaathirika chochote, nakushauri we dada ka utashindwa basi nitumie namba ya huyo mumeo niwe nakusaidia kumpa tingo yangu ambayo ipo taiti na nisafi. tena yangu ya kiume wanasema ni tamu kuliko ya kike.

  ReplyDelete
 31. Huo ni uchafu na ni dhambi,wanaotetea yaani wafirwaji na wafiraji ni kama mbwa ambao yaani roho ya kibinadamu imeshakufa ndani yao,ni kama maiti zinazotembea hata shetani anawavulia kofia.

  ReplyDelete
 32. usikubali kufanya hivyo, achana naye na maisha yataendelea tu, kama unataka kugeuzwa basi we endelea kukaa naye anaweza akatumia mbinu yoyote ile ilimradi tu akugeuze. bwege huyo

  ReplyDelete
 33. MENGI YAMESEMWA NA WALIOTANGULIA YANGU NI MACHACHE KAMA IFUATAVYO:-
  1.KWA HALI YEYOTE ILE KUOMBA/KULAZIMISHA MWENZI WAKO TENDO HILO NI KUKENGEUKA MATAKWA YA MUUMBA HATA KAMA HUNA DINI HATA WANYAMA HAWAINGILIANI KIHIVYO.
  2.NI TAMAA ZA KIMWILI ZINAZOCHOCHOCHEWA NA UTANDAWAZI"GLOBALIZATION"HASA MAPICHA YA KIMAGHARIBI YA XXX
  3.WANAUME WENGI WAMEPOTEZA NGUVU ZA KIUME KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI IKIWA NI PAMOJA NA "LIFE STYLE"SIKU HIZI WATU HUONA KUNU NUA VYAKULA VYA A SUPERMAKET NI MAENDELEO,WAMESAHAU VYAKULA VYA ASILIA,HIVYO HUDHANI AKIJARIBU NYUMA ATAPATA ASHIKI KIRAHISI.
  4.UTANDAWAZI WATU HUSHINDA KATIKA KIYOYOZI HUYO NI MSOMI KIJANA CHINI YA MIAKA 35 AKITOKA KAZINI (BIA YA KOPO NA KITI MOTO)KWA WALE WANAOTUMIA AKIRUDI HOI,HUJARIBU MBINU MBADALA KUTAFUTA ASHIKI,HAPA ANASHAWISHIKA KUJARIBU TIGO.
  5."MOBE SYCHOLOGY"KTK MAENEO YA KAZI AMA VIJIWENI USHAWISHI UKO JUU HASA KWA WALE MADEMU WALIOJALIWA MAKALIO MAKUBWA HUJENGEKA DHANA KUWA ILI UMFAIDI KAMA SIO KUMKOMOA BASI MPIGE TIGO.
  6.VIJANA WENGI WAMEPOTEZA URIJALI KWA KUDANGANYWA NA MABANGO YA UTITIRI WA WAGANGA WA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME KILA KUKICHA HII NAYO IMETUHARIBIA JAMII NA KUENDEKEZA VITENDO VYA TIGO.
  7.KIAFYA NI KUANZISHA MAGONJWA MENGINE KATIKA TAFITI NYINGI DUNIANI IMEGUNDULIKA KUWA MASHOGA WENGI HUAMBUKIZWA MAGONJWA MBALIMBALI KUPITIA MKUNDUNI IKIWA NI PAMOJA NA VIRUSI VYA UKIMWI.
  8.WANAWAKE WENGI HUSHINDWA KUJIFUNGUA KWA NJIA YA KAWAIDA HIVYO HULAZIMIKA KUFANYIWA OPERESHENI.
  9.UKIZOEA HUKO HATA MKEO WA NDOA KUNA SIKU UTAUMBUKA.
  10.WANADHANI KUNA JOTO NA KUNABANA HIVYO HUFIKA KILELENI MAPEMA.;KUMBE WENGI HAWAJUI KUWA MAPENZI NI UCHAFU HASA KATIKA TENDO LA NDOA HATA HIYO SEHEMU YA HALALI HUWEZESHWA IKABANA TENA VIZURI SANA NA UKARIDHIKA,NI SUALA LA SANAA NA KUJISOMEA VITABU VINGI VYA JINSI YA KUMFIKISHA KILELENI MWENZAKO BILA HATA YA KUPIGA TIGO,NAKUBALIANA NA MCHANGIAJI ALIYESEMA MKUNDUNI NI SENSITIVE AREA,CHA KUFANYA NI KUPASHIKASHIKA KIMAHABA ILA SIO KUPENYEZA DHAKARI,NOMA....NINAYO MENGI SANA YA KUCHANGIA NA WENZETU TOKA SEHEMU MBALIMBALI

  ReplyDelete
 34. ddsengela@yahoo.com

  ReplyDelete
 35. usikubali kutoa jicho

  ReplyDelete
 36. hii ni Laana ya Dunia na ni mikosi katika maisha usikubali kufanya hicho kitendo cha kulawitiwa.

  ReplyDelete
 37. DADA MUNGU AKUSAIDIE JAMAA KAATHIRIKA TAYARI NA HIYO TABIA NA IPO SIKU ATAINGIZA BILA WEWE MWENYEWE KUJIELEWA NA NDO UTAKUWA MWANZO WAKO WA KUTUMBUKIA HUKO HUTATOKA.
  KAMA HAUKO HUKO KIMBIA NA UTEMBEE MAMBO YA KUPENDANA YAPO BUT KHARAMU NI KHARAMU TU. DHAMBI NI DHAMBI NA ALWAYS DHAMBI NI TAMU KIBINADAMU

  ReplyDelete
 38. Dear ki ukweli nyuma ni uchafu wa hali ya na hasa kwa wewe mwenye jinsia ya kike usithubutu kufanya ujinga huo hata wakwambie nini ili baadae usije jutie, inawezekana anakujaribu tuu akuone utasema nini si unajua hata Ayubu alijaribiwa? achana na huo ujinga kabisa, ongea tuu na mume wako vizuri na wala usimwache kama wanavyokushauri najua atakuelewa wala usiogope maana hata mimi nilishaletewa kesi kama hiyo na nilimshauri vizuri tuu yule mama na mumewe pia nilimwita nikaongea kwa hekima na kuvikemea kwa ukali sana na alinielewa na alimuomba mke wake msamaha na mpaka leo wapo pamoja raha mstarehe.

  ReplyDelete
 39. NASISI BINADAMU TUMEZIDI KWA MAOVU HAKIKA HATA SHETANI AKIKAA KUFANYA TATHMINI ANAJIZOMEA KWANI TUMEMSHINDA KWA MAOVU, DADA TUMEUMBWA KULIWA UKENI SIO TIGO USITOEEEEEEEEEE NI MWIKO.
  KAMA BBY WAKO ANAKUPENDA ATAKUELEWA NA KA ANATAKA KUKUHARIBIA TU WALA HATAKUELEWA MAAMUZI NI YAKO KWA KUWA HUKUMUNI UTAKUWA PEKE YAKO.

  ReplyDelete
 40. Unajua wanaume hawatabiriki.unaweza ukampa then baadae akakuacha.hiyo aibu utaificha wapi? na pia wakati mwingine anaweza akawa anakupima ili ajue msimamo wako.kwahiyo ng'ang'ania msimamo wako ili hata akiamua kukuacha aibu iwe kwake.na pia kama akikuacha kwa sababu hiyo basi ujue ni mwanaume aliyezoea hayo mambo.

  ReplyDelete
 41. kweli hiki ni kizazi kilicholaaniwa,mtu anasema uongo live kabisa,huyo atakuwa devil agent,i wld advice him to through REVELATION 14:1-6,

  ReplyDelete
 42. nakupa pongezi za dhati kuwa na msimamo wako hadi sasa nachoweza kusema hata siku moja usije ukakubali kuharibu mipango yako kwa kitu unachoona kina weza kukuletea matatizo makubwa,sidhani kama huyu mpenzi wako anakupenda kwa dhati au ana malengo mazuri na wewe kwani upendo wa dhati ni kusikilizana,kushauriana na kuheshimiana. nakusihihi dada angu usifanye hivyo kamwe kwani utakuwa kinyume na maadili ya kiafrika na hata biblia ilikataza kitendo hicho.

  ReplyDelete
 43. Dhambi zipo tele kwenye hii dunia na hao waliotoa mistari yao wanadhambi zao kibao wanazozifanya, kwa sisi wa Kristo dhambi zote ni sawa, jiulize umedanganya mara ngapi na wewe huna tofauti na huyo mfiraji/mfirwaji,
  Nakubali ni kweli kufirana ni dhambi mbele za Mungu, kama dhambi zingine,
  Kila kitu kina madhara kwa kiwango chake,
  Tunajua madhara ya sigara kiafya? Pombe je? nini kinazidi hivi, na vinatangazwa kila kukicha na kutumiwa hadharani!
  Nachohitaji ni sababu za kiafya kusema kuwa tigo ina madhara makubwa sana, wote wanaosema madhara ya kiafya naomba watoe mechanisms of action ya sphincter muscles, zinaathirika vp na kufirwa na pia watoe sababu zilizofanyiwa utafiti na ikiwezekana watoe na link ya kuzipata copy za tafiti hizo za kitaalam zinazoonyesha madhara ya kufirana,
  Je wanawake wote wanaoshindwa kusukuma wakati wa kujifungua ni wafirwaji? kwa hiyo wote waliofanyiwa operesheni za uzazi wanafirwa? Je wote waliojifungua njia ya kawaida hawafirwi? kwani kutoa mavi wakati wa kujifungua ndo kunamaanisha mwanamke anafirwa? Unajua ni wanawake wangap hutoka mavi wakati wakujifungua? au kwakuwa huwa hawasemi?
  Nitatoa baadhi ya maelezo zaidi ya uzoefu wangu kwa wanaojifungua,
  baada yahao wanaojidai kujua madhara ya tigo kujibu hoja zangu!!

  ReplyDelete
 44. jamani, hebu rosemary tupe ripoti maana hii post ina zaidi ya miaka miwili sahizi. bibie alichukua hatua gani na sasa hivi mausiano yao yana hali gani?
  maana wamejitokeza washauri wa aina aina hapa, sasa wadau tunapenda kupata mlishonyuma. itakua ni real life experienc kupata ushuhuda wa uyo dada baada ya kipindi chote iki.
  ahsante.

  ReplyDelete
 45. Kama kuzini kaona halali kwa miaka yote hiyo anaogopa nini kufirwa mnafiki mkubwa huyo! Hakuna ushauri kwenye dhambi atajijua mwenyewe ampe au la. Hivi unaweza kukataa nyama choma ya Nguruwe Bar eti Haramu wakati unakunywa Pombe?.

  ReplyDelete
 46. Kama kuzini kaona halali kwa miaka yote hiyo anaogopa nini kufirwa mnafiki mkubwa huyo! Hakuna ushauri kwenye dhambi atajijua mwenyewe ampe au la. Hivi unaweza kukataa nyama choma ya Nguruwe Bar eti Haramu wakati unakunywa Pombe?.

  ReplyDelete
 47. Kama kuzini kaona halali kwa miaka yote hiyo anaogopa nini kufirwa mnafiki mkubwa huyo! Hakuna ushauri kwenye dhambi atajijua mwenyewe ampe au la. Hivi unaweza kukataa nyama choma ya Nguruwe Bar eti Haramu wakati unakunywa Pombe?.

  ReplyDelete
 48. Hio ni dhambi kubwa..fyy naar jahannam

  ReplyDelete
 49. Ahasante dada kwa msimamo wako. Je ushauri uliopewa umekufaa. Una jaribu kubwa saana na mimi nasema huu ni uvunjaji wa haki za binadamu. chukua hataua maana hata serikali ya jamhuri ya muungano Tanzania ikijua hilo atafungwa jela. wapo wengi ambao wamewahi kufungwa jela kwa hiyo dhuluma. Huyo mtu hakupendi na wala hakuheshimu. Huwezi kuheshimu mtu halafu umwambie unataka kumfira.Ni vizuri kumheshimu mungu kuliko mwanadamu. Akiendelea na kukuomba mkundu, mkimbie maana ukiendelea kukaa naye kuna siku atakushikia kisu akufire kwa nguvu.
  muepuke huyo ni shetani" wafiraji mbinguni hawaendi na wafiraji pia mbinguni hawaendi"

  ReplyDelete
  Replies
  1. huyo anatafta sababu za kumpa tu. kati ya mama yae na huyo jamaa nani ana mapenzi ya dhati na wewe acha kutafuta ushauri fukuza huyo shetani wa miguu miwili. mapenzi si kulawitiana. hebu jiulize kati ya mbwa na binaadamu nani anaakikli? je umesha wahi kukuta mbwa dume kakosea njia baada ya mbele kaingiza nyuma? bint aachane na huyo bwege maana ni mshenzi. tena nikwambie kitu asilimia kubwa ya mashoga wameanzia kwenye ubasha wamelawiti wenzao mwishowe wakadhani wanaopata raha ni wenzao ndipo wanapobadili mwelekeo na kuwa mashoga. mwambie bint kama kweli ana nia njema aiangalie kesho ya imani ktk kuabudu

   Delete
 50. Most people will have problems. That area is not meant for that if i can bring that to your attention. The type of tissue in our anal area is not designed to withstand that kind of activity. Vaginal tissue is designed for that. Just like smoking not every smoker will end up with lung cancer, COPD or emphysema, but it surely increases your risks of developing those diseases. That being said anal sex does have long term effects. Some people can be lucky not to see the effects in thier lifetime. Others can suffer adverse effects like rectal prolapse, perforation which can go septic. These issue can develope soon or over a period of time. It is always better to hear the information from your family physician. The bottom line is you might not be lucky enough to do it for a long time with no repercussions. Be careful and be friends with you physician.

  ReplyDelete
 51. Hakuna dhambi....kufirana kumeanza zamani na sio juzi....culture zingine za watu wa middle east na uarabuni wadada hufanya hivyo kutunza bikra zao mpaka aolewe....cha msingi be careful kuna risks....hata uke nao una risk so....pima mwenyewe fwatilia alafu amua....ili ukiamua kumpa usipate madhara na umuelimishe mpenzi wako. Naona wote mmeongelea madhara hamjaongelea faida....kwa wadada ukitaka kupanua hips, weka sperm mkunduni.

  ReplyDelete
  Replies
  1. wewe hizo hips zako zimepanuka baada ya kuingiziwa sperms mkunduni???
   Acheni kudanganya wenzenu bana!!

   Delete
 52. mwl.Maulid manyama,dada yangu achana na huyo,hana tofauti na nyoka,

  ReplyDelete
 53. NATAFUTA JIMAMA NTAMNYONYA KUMA KAMA AKITAKA 0757303500.
  MI NI HANDSOME KINOMA!

  ReplyDelete
 54. HUYO NI KENGE HAFAI ACHANA NAYE KM MWAUME UTAPATA MWINGINE MSTAARABU SI HUYO MSHENZI WA TABIA.
  NB:
  USITHUBU KUTOA KABAAAANGI DADA YANGU

  ReplyDelete
 55. Jamani Mkundu una raha yake. Na kama kuna mdada yoyote yuko tayari namuomba tutafutane kwenye 0654343135 an nyumatuu@yahoo.com ili tupeane raha. Ni kawaida vitu vizuri/ vitamu kukatazwa kwani vikiruhusiwa wengi watafaidi. Waelewa wenzangu karibuni tujipatie raha. Asikudanganye mtu madhara ni kutokana kutokuwa makini na matumizi kwani kila kitu kina madhara.

  ReplyDelete
 56. Hata Nyinyi mnamtaja Mungu hapo bado mmejisau maana kwanza mungekemea ZINAA, si hawaja oana hawa? Sasa hata mkisema mnampongeza kwa kutoa mbele nyuma asitoe bado Mnachangia Kuvujwa amri ya sita. Na ndio maana kesho atamdai "tundu za pua" Msitaje Mungu Hapo maana Hayupo kwenye yote hayo...!

  ReplyDelete
 57. Duh! Binadamu wengine wana dhambi kuliko hata Shetani mwenye!!! ruddybwai@hushmail.com

  ReplyDelete
 58. achana naye dada tafuta mwingina yeye aende akatafute wengine wanao penda nyuma

  ReplyDelete
 59. usikubali kufirwa wewe dada, mwambie aende yeye akafirwe kwanza ataitanua tundu yako ya mavi yeye atakua hajaathirika na kitu wewe utabidi uweke pamba nyuma. mwache akafirwe ili ahare mwenyewe.

  ReplyDelete
 60. naomba mfute hii comment

  NATAFUTA JIMAMA NTAMNYONYA KUMA KAMA AKITAKA 0757303500.
  MI NI HANDSOME KINOMA!NIMEACHA HUU UJINGA NIMEMRUDIA MUNGU WANGU.

  ReplyDelete
 61. mi nakushangaa eti unaomba ushauri kwani we hujui kama zinaa ni dhambi na ufiraji ni dhambi pia. kwanza jua kwamba hauko peke yako ye alijuaje kama ni tamu kama hakukusaliti na hapo hamjaoana mkiona itakuwaje. Tambua thamani yako kasha jipe jibu mwenyewe na acha kuuliza vitu ambavyo unamajibu tayari.

  ReplyDelete
 62. Hapa tatizo lililokubwa na wengi tunashindwa kulifahamu kuna kitu kinaitwa addiction,ni kama mvuta sigara au mtumiaji wa kilevi cha aina yeyote ile,mara nyingi huwa ni vigumu kuiacha tabia uliyojizoesha kuifanya na mara nyingi utajikuta unatamani kumtendea kila mwanamke utakayekutana naye,kwa hiyo tusikae kulaumu wanaume peke yao kwa kuwa na tabia mbaya ka hizo,hata wadada nao wamo katika hiyo addiction ya kupenda sodom,ni wengi mno hamuwezi kuamini kwa jinsi baadhi ya wanawake jinsi walivyojikita ndani ya hayo masuala kwa kina kirefu sana na wengine wanajulikana sana shughuli wanazozipenda au kupenda kufanyiwa hapa mini Dar tena wengine wanamajina yao hapa mjini na mchezo ndio ni huo huo tuu kuharibu vijana kwa kuwaiingiza katika huo ushweiitwani wa sodom ni basi tunaficha siri za watu hapa ka nitawataja baadhi ninaowajua hamtokubali,suala hapa wanaume wote tuache kufikiria kufanya tendo hilo na pia wadada nao waache kuvimbisha matako yao na kuvaa nguo zinazoashiria zinaa.nawashaurini kwamba wafiraji na wafirwaji wote ka mnayapenda hayo mambo hamieni USA huko mtakutana na watu kama nyie,hususani madada wa huko mambo yenyewe ni kufirana kwa kwenda mbele,lol lijiugonjwa baya sana hilo linatutesa sisi wote wake kwa waume kwa hiyo ushauri wangu sio kulaumu mtu hapa,ila nakushauri dada yangu usijaribu hata siku moja kufanya hilo tendo potofu,siku ukiufungua mlango hutotoka tena,ni hayo machache kwa leo.peace

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ni kweli huu mchezo si tuwalaumu wanaume peke yao kuwa ndio wanaowalazimisha wanawake zao kufanya hilo tendo ,hata wanawake nao wengi wao hiyo ndiyo tabia yao kubwa mpaka wengine wanafikia kusema kwamba hawamsikii mwanaume yeyote asiowafanyia hilo tendo,hako ni kaugonjwa kachachu sana na sirahisi kukaacha kirahisi,hata mimi pamoja na mke wangu wote tumo ndani ya hiyo addiction ya kupenda kufanya huo mchezo,niliwahi kuelezwa na rafiki yangu mmoja kwamba huo mchezo pindi ukiisha uanza huwa sio rahisi kuuacha hususani wote wawili ka ndio kitu mnacho enjoy,mmoja akijaribu kuuacha mwingine atamshinikiza muendelee kuufanya na hivyo basi kupelekea kuwa vigumu sana kuuacha kirahisi,hivi sasa mimi na mke wangu tunasaidia na madaktari bingwa wa kusaidia watu kutoka katika behaviory kama hizo,imekuwa ni ngumu sana kusaidiwa kwani the more tunapatiwa huo msaada wa kuachana kufirana the more tukirudi nyumbani kwetu tunazidisha kuutenda,yaani hata akili huwa inaathirika sana kama mtajizoeza huo mchezo,ni hatari sana,hauachiki kirahisi .Kuna wanawake pia usiombe ukakutana nao ,upende isipende utafira hata wakati mwengine bila hata ya kujua,yaani kitu kitaingizwa ndani ya mkunduni bila hata ya mwenyewe kujua,mimi ilianzia hivyo hivyo nianzishwa kufira bila kujijua ,na pia ulevi nao huwa unachangia sana katika kufanya ngono mbovu kama hizo,yaani huyu mke wangu ni mgonjwa mkubwa sana wa huo mchezo ngono bila kwenda huko nyuma kwake hatosheki na wala hafikii climax yake ambayo huwa ni ya nguvu sana ikimtokea wakati wa kufanya tendo chafu hilo baya.yaani starehe anayoipata hata mimi huwa ninashangaa kwa jinsi anavyokuwa kafurahi baada ya kulifanya hilo tendo yaani ndugu zangu hasa wanawake acheni kujiingiza katika hilo tendo ni kitu kibaya sana na huo ni ugonjwa usiotibika kirahisi,mwenzenu yamenikuta bado ninahangaika kujitoa na bado kuna challenge kubwa sana mbele yetu.mungu akulindeni na haya mambo machafu na pia nakuombeni mzidi kutuombea mungu mimi na mke wangu tuweze kumshinda shaytwani kuhusu hili,kwa herini.

   Delete
  2. Pole sana kaka, hayo usemayo ni ukweli mtupu, mimi pia ni victim wa mambo hayo! Nisikufiche, sijaoa, na sijui km nitakuja kuoa kwa jinsi nilivyo addicted! Najionea huruma mpaka sasa! Mungu atupe nguvu jaman tutoke humu!

   Delete
 63. Dada shinda ukimwombea hilo lianaume lako miaka mitano yote alikuwa wapi ameshaanza kupewa na machangu kama vp piga chini jisenge hilo lisikupotezee thamani yako

  ReplyDelete
 64. Dadaangu huyo wala hakupendi.....Kama hali inayokubalika haikumtosheleza hiyo nyuma utakapo mkubalia pia itamchosha na atakwenda zake baadaye. Atakuacha na atahadithia nje kuwa yule dada nimemla njia zote mbili,wala hana maana.Usimwage machozi yako bure dadangu,ahana naye tena kabisa.He is not worth your concern,yeye ndiye aliyepoteza sio wewe,yeye hata maadili hana.

  ReplyDelete
 65. ukowapi mlishonyuma wa hii habari?

  ReplyDelete
 66. check this out http://monthlyyouth.com/?ref=629311

  ReplyDelete