Tuesday, August 7, 2012

Usafi wa uke!...wa ndani


Kuna shosti leo kanitumia hii na wanawake wengine wote humu..

Imani au uelewa uliokuwepo:
•Uke ni sehemu chafu chafu chafu sana tena yenye wadudu wa kutosha
yenye kunahitaji kusafishwa kila siku,Uke unahitaji kusafishwa kwa hali ya juu zaidi mara baada ya siku za hedhi au tendo la ngono,Uke wapaswa kuwa mkavu wakati wote ute unakuwepo ukeni ni uchafu usiopaswa kuwa pale Uke haupaswi kuwa na harufu hata kidogo. Harufu ni ishara ya uchafu au ugonjwa!

Kinachofanyika kutokana na imani hii ni kwamba uke husafishwa kila
siku nje na ndani. Hasa ndani kwa kutumia vidole na:
•Maji ya kawaida, labda vuguvugu
•Maji ya iliki
•Maji ya mchele
•Asali
•Rose water
•Vidonge vya kufyonza uchafu
•Maji yenye dettol
•Maji ya vinegar...

Ukweli ni kwamba:
•Uke ni mfumo unaojisafisha wenyewe kwa ndani na ni sehemu moja ya
mwili wako ambayo ni safi kuliko maelezo, safi kuliko midomo yetu.
Habari ndio hiyo.
•Mfumo huu husafisha damu ya hedhi na shahawa wenyewe, hauhijaji
msaada wa aina yeyote
•Uke wenye afya una bacteria, lactobacilli, ambao ni kawaida kuwepo
humo. Hawa hupambana na vijidudu visivyopaswa kuwepo huko kulinda uke
na mfumo wa uzazi kwa ujumla.
•Uke wenye afya sio mkavu, muda wote una ute usiokua na rangi (kama
maji), mwepesi na unaonata. Uzito, wingi na mnato wa ute huu hutegemea
na mabadiliko ya mwili wa mwanamke. (Jifunze tofauti ili ujue muda
inapaswa kumuona daktari)
•Uke wenye afya una harufu, ambayo ni nzuri, murua na isiyokera J.
Kama harufu itakua kali na inayokera (kama yai bovu) basi uke wako
hauko katika afya njema na unahitaji kumuona daktari.

Madhara ya kusafisha uke kama ilivyoainishwa hapo juu:

Ni kitu kimoja tu kinachopaswa kuingia kwa kibibi……ambacho ni babu
toshaaaaaaaa, vidole na vingine vyote vilivyoinishwa hapo juu it’s a
no no situation na….

Unaporuhusu kitu chochote kisichotakiwa kuingia ndani ya uke wako,
unatoa nafasi ya kuharibu mfumo wake wa asili, na unajua ukishadisturb
mfumo wowote, athari zake ni chain reaction.
•Vidole vyako vinaweza kuwa na vijidudu (kumbuka uke ni msafi kuliko
vidole vyako) vijidudu hivyo vikashamiri na kuwashinda nguvu
Lactobacilli. Ukapata vaginal infections za kila namna.
•Kitendo hiki chaweza kupeleka vijidudu kwenye njia ya mkojo
ukasababisha UTI – Urinary Tract Infection
•Unawaua/kuwaondoa Lactobacilli na kuacha uke wako wazi na hatarini
kwa mashambuizi ya kila aina. Hakuna walinzi!!
•Mfumo wa uke usipofanya kazi vizuri ndio utaona ute mwingi kuliko
inavyotarajiwa au mkavuuuu kabisa.
•Uchafu wowote mwingine unashindwa kusafishwa naturally unalundikana
matokeo yake ofcousre infections na harufu mbaya.
•Amini usiamini ni sababu mojawapo inayoleteleza saratani ya shingo 
ya uzazi.
Mashambulizi mengine yanasaabisha utasa (infertility)
•Ute unakauka, na pale unapouhitaji (tenda la ndoa) hautakuwepo na
kusababisha michubuko ambayo inaongeza fursa za maambukizi ya magonjwa
ya ngono.

He? Sasa tusafishe vipi uke kuhakikisha una afya njema?
•Safisha nje tu kila siku unapooga au unapojisikia kwa maji safi na
mikono misafi. Nje ya uke kunahusisha mashavu na katikati yake.
•Waweza kutumia sabuni isiyokua na kemikali kali, japo haishauriwi pia
but Hakikisha sabuni haipenyi ndani kabisa

Reactions:

10 comments:

 1. mdau ni kweli kuhusu hilo, kitaalam uke hujisafisha wenyewe, actually ukiusafisha uke kwa kutumia ma chemicals kuna bacteria wale ambao wanazuia infections wanakua wanakufa na unakua kwenye hatari ya kuweza kupata infections kwa rahisi sana.
  cha kufanya ni kujiswafi tu na kidole tena mikono misafi kama ilivyosemwa, kuhakikisha unatoa utoko utoko kila asubuhi na jioni, maana kuna ule utoko unaotoka na kukaa njee kwenye mashavu na kwenginiko unakua mchafu, basi jiswafi huko. na pia pale babu anapoingia sio vibaya kupitisha kidole ukatoa utoko utoko na kuiacha k yako kavuu na mnato.
  sio vizuri kutumia ma perfumes huko maana yanaondosha harufu asilia ya k, na pia yanaweza kudisturb ph ya k na kukuletea mainfections, ndo maana tunarecommend udi kwa wale wenzangu na mia wanaopenda k zao ziwe za moto moto na kijiharufu nzuriii kumridhisha muhibba na wewe kupewa mambo matamu kwa raha bila karaha za uchafu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tum Tum mpenzi, kidole ndo hakiruhusiwi kuingia ukeni unasafisha nje tu,kinachoingia ni mboo tu,take that my luv

   Delete
 2. Ningependa wanawake wengi wangesoma hili. Niliwahi kubishana na watu kwenye mtandao mmoja wa jamii.. Wao walikuwa busy kusifia bibi zao walivyowafunda kujiswafi. Nikawaambia kuna mikoa wanasema wanawafunda watoto wao lakini mabinti zao wanaongoza kwa kutoa harufu mbaya toka kwa bibi.

  Hii ni kweli kabisa. Mimi nilikuwa sijiswafi zaidi ya nje...nkaja kusoma mitandaoni oooh mwanamke shurti kuingiza kidole. Nkajaribu..baada ya siku si nyingi nkaanza kusikia muwasho. Nikaacha afu nika google namna ya kusafisha uke.. Niliyokuta toka kwa wataalamu ni kama ulivyoandika wewe...Kuna madhara mengi including uwezekeno wa kupata kansa ya njia ya kizazi na STD (including HIV) kwa sababu ya kuwa mkavu...Isitoshe kama unakuwa mkavu hutaweza ku enjoy tendo. Habari ndo hiyo.

  Mtoko wa kawaida hauna harufu mbaya mimi mwenyewe napenda harufu nayoisikia japo ni mwili wangu. Ukijiswafi tu unakaribisha bakteria wapya ambao hawatakiwi na ndo maharufu ya hajabu hajabu.

  ReplyDelete
 3. habari ndio hiyo hamna kujisafisha na kidole, makichenipat mengi yamekua yanadanganya wanawake jinsi ya kujisafisha kwa bibi basi utakuta mwanamke ni full kujiingizia madole kumbe waua bacteria ambao wanatakiwa kuwepo kwenye uke,
  so wanawake wenzangu nawaombeni jamani msiwe mnaingiza kitu chochote ukeni kinachotakiwa kuingia ni mboo peke yake,uchafu kwa uke unajitoa wenyewee we unasafisha nje tuuu,,,
  ndo maana hata manii yanatokaga yenyewe baada ya muda,

  ReplyDelete
 4. Sasa kama kidole hairuhusiwi uchafu unatoka wenyewe je hiyo mboo ikiingia haitoki imevaa koti la utoko?

  ReplyDelete
 5. aah wapi uchafu wote ule niuache nani ataninyonya kuma iliyojaa utoko? Kama mboo kubwa inanitomba itakua kakidole changu ndo kalete madhara? Kujiswafi muhim jaman

  ReplyDelete
 6. kweli kabisa kujishwafi muhimu sana tena unashauriwa uingize vidole hata viwili ila kujishwafi vizuri

  ReplyDelete
  Replies
  1. haswaaaaaaaaaaaaa!!!kama mtaalamu alivosema hapo juu.hongera sana umetupatia funzo nzuri sana.uboo peke yake ndo unaosafisha dudu ya mwanamke unatoa utoko wote na sio kitu kingine(kidole,kitambaa,dawa,hizo ni mbwembwe tu).na so wote wenye utoko inategemea na maumbile jamiani

   Delete
 7. Aaah mnatupa nyege tu wengine..kama kuna kuma haijasafishwa ileteni kwangu mie naosha hizo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Aisee, mada hyo ni nzuri cha msingi nikufuata maelekezo tunayoambiwa kitaalamu.

   Delete