burudani

Burudani: Rusha roho kwa raha zetu, wanenguaji wa taarabu watatufunda viuno.
Mada: Kujitambua mwili wako, Jinsi ya kujihudumia chumbani na jinsi ya kuuweka safi
           Kufundwa umuhimu wa chumba unacholala na mwenza wako na manjonjo yake
           Kufundwa kuhusu mashamsham na maraha ya chumbani kwa uwazi na undani
           Kufundwa jinsi ya kumuhudumia mume/mchumba mkiwa chumbani
           Kufundwa kuhusu vyakula vitavyowasaidia kuweka milii hodari kwa ajili ya chumbani.
           Kufundwa kuhusu virutubisho vya mwili kwa ajili ya chumbani
           Kufundwa jinsi ya kukata kiuno cha chumbani na mengine mengi yanayohusu mwanamke na mwanaume wakiwa chumbani. 
Kwa mawasiliano: Rosemary Mizizi
                Mobile: 0717 019320
           BBM PIN: 23A0C2B4

6 comments:

 1. Shoga kibao kata ndani nyonga unayo..hehe heiya masomo wa nne...chezea miye weye shoga usikose tutakunywa urojo siku hiyo mpaka tutepete, uji wa kungu na nazi ndio usiseme..hehe heiya

  ReplyDelete
 2. Nunua ticket yako upewe na dera lako mapema ukilipia mlangoni au siku ya mwisho 50,000/= kulipia 30,000 mwisho 25/4/2013 saa kumi na mbili jioni..

  ReplyDelete
 3. dada usitusahau watu wa arusha tunakuhitaji sana mambo hayo kwetu adimu .

  Avira

  ReplyDelete
 4. mh kweli mjini kuna raha sasa sie tuliopo vijijini? ndio shaurilo!!!! haya dadad rose hongereni maana mnaona ndoa ni za mjini tu huku kijijini tuendelee kupigwa mitama na kuhesabu slilingbord

  kazi njema dada hongera kwa kutuelimisha

  ReplyDelete
 5. IYO 30,0000 NA CHAKULA AU

  ReplyDelete
 6. Dada Rose utafunda lini tena tuje kuongeza maujuzi?

  ReplyDelete