mimi ni mkaka wa makamu na nina kilo 150 ambazo nimezipata ndani ya miaka miwili mwili wangu ni mnene sana mpaka kwenye gari ndogo siwezi kuenea vizuri .......
sasa nina mwanamke ambaye nimekuwa naye kwa miaka mitatu sasa na nina mpango wa kumuoa, kwasababu ya mwili wangu kubadilika mwanamke wangu analalamika simfikishi tena yani haridhiki na mapenzi yangu kabisa baada ya kunenepa kwa maana sina nguvu ya kwenda muda mrefu, halafu simfikishi kileleni, na mara nyengine ninakuwa mvivu sana pale mwanamke wangu anapotaka mapenzi mara nyingi mimi nakuwa sijisikii kabisa.....imefika wakati sasa mwanamke wangu anaona aibu kabisa kutembea na mimi kila anapotaka kutoka jutoka pamoja na marafiki zake yani hupendelea kutoka wanawake wawili pamoja na wanaume wawili hii sasa inanipa mimi hofu nadhani naibiwa mwanamke wangu kisa unene niliyokuwa nao, nataka kweli kupungua lakini nahisi kushindwa tafadhalini ndugu zangu naomba mawazo yenu kwani hali yangu ni mbaya.........
kwanza kabisa nakupa pole kaka unayesumbuliwa na unene chakufanya ni hivi kaa na mke wako zungumza naye mwambie asikusaliti kwasababu ya unene uliyonayo maana hata wewe hiyo hali huipendi wewe anza mazoezi kidogo kidogo hata yakutembea hakikisha unatembea dakika 45 kila siku nauangalie sana chakula unachokula usipendelee kula nyama sana km unataka nyama kula samaki au kuku na kuku usile ngozi yake ksb inamafuta pendelea mbogamboga za majanina matunda kwa wingi usipende vyakula vya mafuta sana na sukari na chumvi inatakiwa utumie kidogo sana
ReplyDeleteNenda gym.
ReplyDelete