Friday, June 18, 2010

MAPENZI WAKATI WA UJAUZITO....

mimi ni mjamzito mimba yangu ina miezi sita na hamu ya mapenzi sina kabisa yani pindi tu mume wangu anaanza kunishika kutaka mambo yani ndani ya moyo nakereka kabisa, yani kwanza nikifikiria zile shahawa zake zinapoanza kutoka baada ya kufanya mapenzi natamani hata kutapika wakati mume wangu yeye mda mwingi anataka kufanya nami mapenzi akiniambia huu muda wakati ni mjamzito yeye anajisikia raha sana kwani ninakuwa na jotojoto (nadhani wanaume wengi waliopata watoto watakuwa wanaelewa) lakini kwangu ni kero kabisa jamani..
ndugu zangu hii kero ninayoisikia mimi ni ya kawaida ama ninamatatizo?

Reactions:

3 comments:

 1. mmima Rose? tunashukuru kwa kutuelimisha. mi naomba kujua jinsi ya kushika mimba especially mtoto wa kike. Mi nimeanza period tarehe 17 Juni, 2010 je siku zipi ni vema za kushika mimba. ubarikiwe

  ReplyDelete
 2. DADA ROSE,nnaomba msaada. WAnawake wnapenda uume mrefu au mfupi? Mimi kwa kweli natatizwa sana, jamaa yangu analalamika sana kuwa yeye ana uume mfupi hivyo anahisi hawezi kumtosheleza mwanaume, je ni kweli?

  Kuna tofauti ya uume mfupi na mrefu kwenye mapenzi? naomba msaada kutoka kwako na kwa wadau

  ReplyDelete
 3. mimi naomba kufundishwa style ya kutumia wakati wa ujauzito ili nifaidi tendo la ngono.

  ReplyDelete