Tuesday, September 30, 2014

Wanawake wa Arusha na Moshi hii sio ya kukosa....

 Arusha na Moshi kumekucha mashoga zangu kibao kata ndio hiki hapa MUNGU akipenda tarehe 29/11 tukutane hapo Golden Rose -Arusha, tuma kiingilio chako mapema utumiwe ticket na dera lako...ukiona hii shoga beba watumie na wenzio

Reactions:

0 comments:

Post a Comment