Friday, July 11, 2014

NYONGA NA KIBAO KATA...

  NYONGA NA KIBAO KATA, shoga upo tayari umeandaa mauno, mishono ya dera jee ama unatupia tu hivyo bila kulibana bibi upendavyo weye ndio raha yetu siye shughuli yetu 31/8/2014 jumapili ya nyonga hiyo Majestic Hall Sinza kwa remmy kwanzia saaa 10:00jioni mpaka saa 03:00 usiku lipia nafasi yako mapema kwa kiingilio 40,000 - utapata dera lako sare,chakula na vinywaji. na kwa anayehitaji meza ya biashara wasiliana nami meza ni 10,000/- kwa kulipia nipigie 0717 019320 upate dera lako mapema na ticket yako mkononi...sitaki kukwambia kutakua na nini ila niamini miye mswahili shughuli zetu twazijua siye kama unaona hujakua vizuri shoga humu hapakuhusu patakupofua macho na masikio

Reactions:

0 comments:

Post a Comment