Tuesday, July 15, 2014

MTOTO AMEIBIWA....

Mtoto ameibiwa jana tarehe 15/07/2014 majira ya saa 12 nyumbani kwake maeneo ya changanyikeni. Inasemakana amechukuliwa na mtu wasiyemfahamu katika mazingira ya kutatanisha. Mtoto huyu anaitwa Merlyne Reppyson kama anavoonekana kwenye picha mkifanikiwa kumuona tafadhali tunaomba mtujulishe kupitia namba zifuatazo 0682334849/ 0753047570/ 0714423800/ 0787489817/0719574909 au tafadhali toa taarifa kituo chochote cha polisi. Mkifanikiwa kumhoji mama maswali mdogo wake anaitwa Elyn na mama yake anaitwa Elida Fundi-Ishabakaki

Reactions:

0 comments:

Post a Comment