Monday, October 28, 2013

 kutokana na maombi ya wengi kwamba ijumaa ni ngumu kwao kutoka kazini na kuja kwenye shughuli basi tumeamua kuipeleka 9/12/2013 ambayo ni sikuku ya uhuru kutakuwa hakuna kazi siku hiyo ili tuje kwa wingi madera yataanza kuuzwa rasmi 1/11/2013 na nina pc 200 tu sintochukua zaidi ya hapo...nimeshawaletea somo kutoka magomeni, nikawaletea wa temeke sasa msimkose kipindi hiki somo wa TANDALE na somo wa kiume mzaramu wa kutoka uswahilini kwetu MABIBO..hehe heiya siye waswahili tunapenda myajuwe ya waswahili katika chumba..siyo ya kukosa hii kwa mawasilino jinsi ya kupata ticket na dera lako nipigie na Whatsapp 0717 019320 au BBM Pin 7C1C6179

Reactions:

0 comments:

Post a Comment