Monday, September 2, 2013

Hatareeeee

Hivi inakuwaje mwanamke unakuwa na mahusiano na mume wa mtu halafu akuhongi, hakununulii gari, hakupangii nyumba, hakufanyii hata shopping ya chakula, hakupi hela na akiamua kukupa labda ni 10,000 -20,000 (ndio amekupa nyingi), yani hakupi lolote zaidi ya DUDU hivi kwanini unapoteza uthamani wako, muda wako wa kuwa na mtu mwengine ambaye angeweza kukuoa, na kujitia laana ya kuharibu ndoa ya watu kwa mtu ambaye hakufanyii lolote...BORA awe anakuhudumia utasema nina mume wa mtu ndio ananipa jeuri mjini sasa wewe hafanyiwi lolote umekaa tu na unakubali kabisa....POLE YAKO

Reactions:

0 comments:

Post a Comment