Tuesday, September 3, 2013

Hatareee

Katika matatizo niliyohadithiwa na wanawake wengi ni kwamba wame zao hawawapi vizuri haki yao ya kitanda, yani wanapewa 1 tu jamaa analala tena amechoka harudii tena yani akijikaza anatoa mbili tena hiyo ni baada ya muda mrefu sana kwahiyo wao wanaachwa bado na hamu kibao mpaka wengine wanafikiria kutafuta vipoozeo pembeni..

JAMANI WANAUME SIKUHIZI WENGI SANA WAMEKUWA WAVIVU NDANI YA NDOA IKIJA KWENYE mzunguko YANI WEWE MKE UNAWEZA KUWA VERY ACTIVE LAKINI YEYE WALA HANA HABARI NA HIKI NIKILIO CHA WENGI SANA WAMEKUWA WAVIVU KWANZA KWASABABU YA KAZI, MIKUTANO NA WASHKAJI, NA PIA VIMADA (JAPO SIO WOTE) KWAHIYO AKIRUDI NYUMBANI JAMAA ANAKUWA AMECHOKA SANA HAWEZI HATA kuzunguka VIZURI NA AKIKUPA KWA KUKUHESHIMU MKEWE NI MOJA TU TENA MARA NYENGINE HATA uume USISIMAME KABISA HATA UJARIBU KUICHEZEA VIPI INAWEZA IGOME KUSIMAMA.

UKISHAGUNDUA MUMEO AMEFIKIA HAPO KWANZA KABISA ACHA KABISA KUOMBA akuzungushe AKIRUDI KUTOKA KAZINI, MUACHE ALE AOGE ALALE WEWE MUDA WAKO WA KUTAKA KUPEWA IWE USIKU SAA NANE HAPO ANAKUWA AMESHAPUMZIKA NA ANANGUVU MPYA NA LA PILI AKUPE ASUBUHI KABLA HAJAOGA KWENDA KAZINI HIYO NDIO MIDA WANAUME WANAKUWA VERY ACTIVE.

NA PIA AKIKISHA NYUMBANI KWAKO HUKOSI KARANGA, TANGO, TIKITI MAJI, KOROSHO HIVI HUMSAIDIA MWANAUME KUJENGA NGUVU ZA KIUME ASISHINDWE kukuzungusha VIZURI..LABDA HUKUJUWA BASI JUWA HILO LEO.

NA PIA LAMUHIMU ZAIDI NI KUMUANDAA KIMAWAZO AKIWA BADO HAJARUDI ANZA KUCHEZA NAYE KWENYE SIMU SIO MPAKA UMNYEGESHE AKAKOJOA UKAJA KUMKATA UCHAWI KWENYE KUFUA CHUPI HAPANA MUANDIKIE TU MSG MOJA AMBAYO ATAJUWA LEO ANAKAZI YA KUFANYA AKIRUDI NYUMBANI..

Reactions:

2 comments:

  1. Hapo pamenigusa, nami wangu yupo hivyohivyo, kimoja tu, na haniandai, labda niseme amechoka, hata ashinde nyumbani ni yaleyale, kiasi imenibidi nitafute mtu wa pembeni, nashkuru niliyempata, ananipa penzi ambalo sijawahi kulipata tangu nianze kuwajua wanaume, na ananiheshimu, na kuiheshimu ndoa yangu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duh, dada angalia magonjwa mengi. Ongea vzri na mumeo ujue tatizo ni nini na mjue jinsi ya kulitatua na si kukimbilia nje kwenye magendo.

      Delete