Sunday, July 21, 2013

MWANAMKE..

Leo nataka niongee na wanawake, kuna wanawake ambao wakiwa katika hedhi wanaumwa sana matumbo yani mtu anaumwa tumbo mara nyengine mpaka hawezi kabisa kutoka ndani, na kuna wanawake ambao hedhi zao hurukaruka yani haziji kwa muda uleule...

Kati ya wanawake ambao wametumia mafuta ya mchaichai wamekiri ya kwamba yamewasaidia sana hawaumwi tumbo kama ilivyokuwa zamani na siku zai zimekuwa stable kama ni kupishana basi ni kwa siku moja ama mbili.

Kama na wewe mwanamke unatatizo kama hili usisite kututafuta tukakupa na wewe mafuta yako, bei ni shs 10,000/= tu nipigie 0717 019320 na utaletewa mahali ulipo.....

Raha ya mwanamke ni kusaidiana.

Reactions: