Monday, July 15, 2013

Msaada Tutani....

Habari dada,

hongera kwa blog nzuri

naomba ushauri kwa wadau..najua blog yako inapitiwa na wengi so majibu nitapata. mimi ni mama wa watoto watatu. Nina tabia ambayo sijui kama wanawake wengi hufanya au la, mimi sijawahi kucheat kwa maana hata pale bado sijaolewa sikuwa na mtu mwengine..endapo mume wangu kasafiri mimi nikizidiwa huwa najichua mwenyewe..yaani najisugua na mkono na mashamsham hadi naridhika basi na nikiwa na mume wangu tunaenjoy kama kawa..yaani ni njia ya kujiridhisha endapo hayupo..sasa...hii tabia ni mbaya? pili kwa wale waliokoka...hii ni dhambi? maana mi nasali sana namjua Mungu ila kwa hili nashindwa kumuuliza mchungaji.

msaada tafadhali.

hongera kwa kazi nzuri....

Reactions: