Wednesday, July 3, 2013

MABADILIKO...........


KUTOKANA NA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WETU TUMELAZIMIKA KUHAMISHA SEHEMU AMBAYO EVENT YETU ITAFANYIKA HAITAKUWA TENA MAJESTIC HALL BALI TUMEIPELEKA MAGOMENI MIKUMI MTAA WA LANGO LA JIJI...SOMO WETU AMEPATA MATATIZO HATAWEZA KUTOKA NJE YA UMBALI MREFU TUMEAMUA KUMFWATA MAHALA ALIPO...

JINSI YA KUFIKA HAPO KAMA MTAPOTEA NIPIGIENI 0717019320 KARIBUNI SANA MUDA NI ULEULE TULIOUPANGA...

AHSANTENI

Reactions: