Monday, June 17, 2013

Tickets zimekaribia kuisha...

 Jamani wanawake mlio kwenye ndoa tickets za event yetu zimekaribia kuisha umeshalipia nafasi yako??

Usije pitwa kunamafundo ya ndoa kama ndoa huko, mafunda ya nyumba na kuta zake na mafundo ya chumbani hehe heiya kama kawaida yetu hatuandiki wala kupiga picha kwani kule ni watu wazima tu.

Kibao kata kimejipanga sasa hivi nyimbo za mahaba za kukuonyesha jinsi ya kukatika nyonga yako kwenye kitanda chako cha ndoa....nisiongee mengi nakwambia mpaka watoa shoo sasa hivi ni wake za watu wakakuonyeshe jinsi wanavyomiliki vitanda vyao....hahahaha haloooo usije kunisumbua siku ya mwishi lipia mapema.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment