Monday, June 24, 2013

Mabadiliko....

Kuna wanawake wengine jamani hawana ndoa ila wanaishi na wanaume kama ndoa, kuna wanawake wamechumbiwa ila bado siku yao ya kuingia kwenye ndoa haija fika labda ni miezi miwili ijayo, kuna wanawake wanawapenzi tena mmoja anayemuombea MUNGU awe mumewe siku moja, nina habari njema kwako kama wewe ni mwanamke umehangukia kwenye makundi hayo juu karibu na wewe kwenye haya mafundo yatakusaidia sana, siku zimefikia mwisho   lipia nafasi yako usije pitwa ni 7/7/2013

Reactions: