Tuesday, June 18, 2013

Kibao cha Mbuzi...

Tulivyofunda mara ya mwisho mwezi wa nne kuna dada alitoa shoo ya kibao cha mbuzi mliokuja nadhani mnakumbuka wengi walishangaa lakini kwakuwa ni cha ndani zaidi hatukutaka kuongelea maana yake kwakuwa waliokuwemo humo wengi walikuwa hawajaolewa kwahiyo ikawa tu muone mtu anavyojuwa kukimiliki kibao cha mbuzi.

Mwezi wa saba tutakapofunda wanawake walioolewa tutarudisha tena kibao cha mbuzi yule dada atakata kwa pande sio chini ya tatu kuwaonyesha kinavyotumika ukiwa ndani zaidi ya kukunia nazi.

Mwanamke sio tu unatengeneza keki ya kibao cha mbuzi au unapewa kibao cha mbuzi kwenye kitchen party yako wewe akili inakuwa moja tu ya kukuna nazi ya kuungia mboga, shoga siku nyengine unakichukuwa hicho kibao unakiingiza chumbani unafunga mlango unaa...................................................

Maelezo zaidi MUNGU akipenda tukikutana 7/7/2013 usikose ufundwe wewe mke wa fulani

Reactions:

0 comments:

Post a Comment