Wednesday, June 19, 2013

Kigoda....

Hahahahahaha leo nitawachambulia vitu ambavyomkiolewa mnapewa kwenye kitchen party zenu na wengi najuwa hamjui ni za maana gani kwakuwa wengi wanakuwa hawajafundwa, wewe utapewa kigoda na kazi utakayoifanyia ni kukaa na kupikia kwenye jiko la mkaa ama utakalia tu ukitaka kupumzika..

Lakini siye tuliyefundwa kigoda hakitumiki hivyo tu, kinatumika chumbani pia utafayanje na kukitumiaje chumbani..hahahahaha sikufichulii siri nimefundwa kuwa na staha tukutane kwenye mafundo wewe mke wa fulani 7/7/2013 lipia ticket yako sasa nipigie 0717 019320

Reactions:

0 comments:

Post a Comment