Sunday, June 2, 2013

Hongera Shamim..

Kwanza kabisa napenda kumshukuru MUNGU kwa kuleta mwanamke na mwanaume duniani jamani hebu ona hawa wanadoa walivyopendeza uuwwwiii yani mpaka unaona raha.

Napenda kuchukuwa muda huu kuwapongeza maharusi hawa na kumpongeza fellow blogger Shamim kwa hatua kubwa ya maisha MUNGU awabariki, awalinde na kuwatunza huyo kijana akapendeze na kuvutia kama hivyo alivyo sasa na zaidi..

Karibu kwenye chama wanandoa, chama cha ambacho waliokuwa nje wanataka kuingia na waliokuwa ndani hawataki kutoka haswa ukijuwa kuitunza ndoa itakutunza shoga.

Hongera Sana

Reactions:

0 comments:

Post a Comment