Sunday, June 2, 2013

Home's Boss Lady...

Bado tunaendelea na mchakato wetu wa kupaisha wanawake walioolewa katika kuelekea siku yetu ya kufundwa siye wenye ndoa zetu shoga...chezea kuitwa mke wewe lazima uwe na maujuzi na maubunifu kibao ya kuongoza familia na mumeo tukutane siku hiyo 7/7/2013 Majestic Hall Sinza Kwa Remmy 11:00am-18:00pm wako wapi wake wenzangu wa mbagala simlisema nifanye asubuhi mpate kuja haloooooo karibuni mashoga tuje kujipa raha...CHEZEA TITLE WEYE

Kwa anayetaka kunitumia picha wake ni weke humu nitumie kwenye rosemarymzizi@yahoo.com mpaka siku ya kufundwa kwetu nitakuwa kila siku naweka picha za wanawake kwenye harusi yao.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment