Friday, May 31, 2013

Sifa ya mwanamke nyonga...Kajitegemee

Unaambiwa mchina kaleta vitu vingi feki nywele, makalio, hips, kope, yani vitu kibao ila kashindwa kutengeneza nyonga feki..haloooooooooooooo mwanamke kunyongesha ndio starehe ya mzunguko na heshima ya mwili wako..akijetegemeee na kama huwezi nitafute tukufundishe..

Walio kuja kufundwa mwezi wa nne walifundishwa kukata nyonga natumaini bado wanaendeleza makamuzi..haya na nyie wamama mliolewa wenye nyumba zenu aka wamama wenye nyumba kazi kwenu sasa 7/7/2013 tukanyongesheeee...hahahaha hatareeeeeeeeeeeeeeee

Reactions:

1 comments:

  1. pole kwa kazi nzuri unayoifanya kutuelimisha sisi wanawake hasa tulio kwenye ndoa. Tunaomba na sisi tulio mikoani walau mara moja kwa mwaka mje kutufundisha nasi tuwe na ujuzi zaidi.

    ReplyDelete