Wednesday, May 29, 2013

Home's Boss Lady...

Kuelekea siku yetu ya kufunda wanawake walioolewa na kutambua umuhimu wa wewe kuwa mke mpaka siku yetu ikifika kila mara nitakuwa natuma humu picha za wanawake walioolewa katika siku yao ya harusi na kama wewe pia unapenda kunitumia picha yako ya harusi unakaribishwa tuma picha zako kwenda rosemarymizizi@yahoo.com

Naamini jinsi utakavyokuja siku hiyo sio jinsi utakavyondoka siku hiyo najuwa utaondoka na nguvu na upendo mpya wa kwenda kuwa mama na mke bora katika familia yako, karibuni sana


Reactions:

0 comments:

Post a Comment