Monday, May 20, 2013

Mwanamke na Ndoa yako..halooo ngoja na mimi leo niuze sura eboo kila siku niwauzishe wengine tu, inahusu

HAYA SASA...wapi wanawake wenye ndoa zao mchakato unaanza ni kufundwa wanawake wenye ndoa zao tu shoga ni 7/7/2013 Majestic hall Sinza kwa Remmy kwanzia 11:00am-18:00pm kwa kiingilio 30,000/= hakuna sare vaa unavyotaka ila utambue kukaa ni chini hatutaweka viti kabisa, hiyo ndio heshima ya mwanamke anayefundwa"UNYEYEKEVU" kuwa tayari tunakaribia kuanza kutoa tickets..hehe heiya uuwwiii sipati picha huku ni kwa watu wazima bibi wenye mali zao ndani hawakopi na kurudisha..haloooo kama msemo umekupita poleeee...tukutane siku hiyo na kumbuka hakuna malipo ya mlangoni na mwisho wa kulipia ni 6/7

Reactions:

0 comments:

Post a Comment