Monday, May 13, 2013

Msaada Tutani..

Hellow mambo n aje mumie hongera kwa kutuelimisha kwa kwel blog yako inatusaidia sana sana.Nnajua kwa kawaida usafi kwa mwanamke n kitu cha lazima hasa ukiwa unajitambua wajibu na thamani yako.Sasa mie napata tabu nnpokuwa najiswafi kwa kutoa nywele za kwapani na huku chini huwa nawashwa na kutokwa vipele baada ya siku chache zinapokuwa zinaota wakati wa kudoo zinachoma dushelele basi tabu tupu.Je solution yake n nn?

Reactions:

3 comments:

 1. Mamii pole na ahsante kwa kuwa fun wangu, kuota vipele na kuwashwa ukiwa umenyoa kwanza inasababishwa na vitu unavyotumia kunyolea kwa mafano blade wengi wakitumia blade huotwa vipele kwasababu blade unatakiwa kunyoa kwanzia juu kushuka chini lakini wengi hawafanyi hivyo hunyoa kwa kwenda pembeni ama chini kwenda juu ndio maana vile vinywele vinapokatika vibaya husababisha vilepe, pia ngozi ya mtu husababishwa kuwashwa na mara nyingi ni kwa sababu wanawake wengi baada ya kunyoa wakishajisafisha hawapaki mafuta ukeni kwahiyo ngozi hubaki kavu na kuleta muwasho ni vizuri unapomaliza kuoga unapojipaka mwili mafuta ujipake na kwenye uke pia..na kwa ushauri ni vizuri sana ukatumia mafuta ya nazi aina ya minara pia ni nzuri sana..

  Ahsante

  ReplyDelete
 2. asante dada rose kwa ushauri huu hata mimi nina tatizo kama huyu aliomba ushauri so nitatumia huo ushauri uliotoa dada rose asante

  ReplyDelete
 3. tupo wengi asante kwa hilo.

  ReplyDelete