Monday, May 20, 2013

Mabig...Msaada Tutani

Nimekuwa katika mahusiano kwa muda mrefu na binti mmoja ambaye siku zote huwa tunafurahia mahusiano kama kawaida na hajawahi niambia mambo ya chooni...
Kilichonichanganya ni hili tukio la jana ambalo limenifanya nivunje ukimya...
Wakati tunavunja amri ya sita baada tu ya kumaliza first round tulipumzika kama kawaida ili kujiandaana second round....

Wakati niko tayari kwa second round, mrembo wangu aliomba nimpeleke chooni..."BABY NIPELEKE CHOONI"...
Nikamwambia "afadhali umesema mapema kabla sijaanza second round maana ungenikata stimu, haya baby twende..."

Nilivyo mwambia hivyo huku nikiwa nimesimama , mwenzangu aligoma, akarudia tena, "BABY NIMEKWAMBIA NIPELEKE CHOONI"....!!

Nikamwambia :"sasa si uamke twende? ..Nilivyosema hivyo, binti alianza kuniangalia kwa jicho la hasira na baadae akavaa nguo zake akatoka kwa jazba...

Kusema kweli nilipigwa na butwaa huku nikiwa sielewi kinachoendelea.Baada ya muda kidogo alinitumia text inayosema hivi:

"Mwanaume gani wewe huelewi...!!! siamini kama ni mshamba kiasi hicho. Next time nikikwambia NIPELEKE CHOONI maana yake ubadilishe mlango"

Kumbe maana yake ilikuwa kumpeleka chooni ni kumuingilia kinyume na maumbile,kitu ambacho niliapa kutotenda maishani mwangu....

 
Naombeni ushauri au mtazamo wenu.Binti bado nampenda na tuna share vitu vingi sana...Najaribu kuachana naye lakini nashindwa na Kumpeleka chooni siwezi hata kwa dawa..!!

Reactions:

0 comments:

Post a Comment