Tuesday, May 7, 2013

GOVI...

Wapendwa nimefiwa na babu yangu mzaa baba kwahiyo ndio maana mmeona kimya maana msiba ulikuwa kwa wazazi wangu siku tano leo ndio tunasafirisha kwenda moshi ila siondoki hivhivi mpaka niwape vidonge vyenu kama sio lako basi la jirani yako.

Jamani siku hizi kuna makabila kibao ambao hawatahiri watoto wao wa kiume wakati MUNGU mwenyewe anatambua umuhimu wa kutahiriwa na kwamba nia agano lake na sisi sasa inahusu nini mtu mzima kama wewe unapita unanesa ukivuliwa nguo una govi inahusu kisa chakumlisha mwanamke wa watu mtindi ni nini maana mapenzi ya sikuhizi mwanamke anataka akupe raha mpaka huko mara kazama katoka na mtindi babu inahusu..sikia hii

Mwanzo 17:10 Hili ndio agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe na uzao wa baba yako baada yako kila mwanaume kwenu ATATAHIRIWA, 11:mtatahiriwa nyama ua magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na nyinyi,12:mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu katika vizazi vyenu.

Halafu watu wengine wanasema ukimtahiri mtoto akiwa mdogo sana uume wake unakuwa mdogo kasema nani huyu aliwaumba wanaume na kuwapa madushelele yao alisema watahiriwe siku ya nane wakizaliwa kwani hakujuwa kama mkifanya hivyo nani hii itakuwa ndogo inahusu babu..ebo

Bibi gozi tupa huko, wanawake waliolewa wanaokuja kufundwa mwezi wa saba tutaliongelea hili kwa undani maana najuwa kuna wengine wame zenu magovi kama wakina mura, rutoshobya wakina hao wengine bado magovi usione haya, siku hiyo ni kumwaga mambo hadharani bibi kwa siye wenye ndoa zetu...halooo ulidhani ndoa nywele kila mtu anayo mbona wewe huna umekazania kujinasisha kwa waume za watu shoga au unajipa moyo na wewe ukiwa na mume wa mtu ndio ndoa..haloooo kaoge bibi maji ya bahari mara saba ujitoe nuksi

0 comments:

Post a Comment