Tuesday, April 23, 2013

Mwanzo..

Mwanzo 23: adamu alipomuona mwanamke aksema"sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu na nyama katika nyama yangu"

Mwanzo 25: Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya.

Hayo ni maneno ya biblia takatifu nataka niongelee kwenye ndoa leo sisi kidunia tunasema sharti kuu la ndoa ni kulala uchi na wewe mwanaume na mwanamke mnapotaka kuoana mnalijuwa hili na mnakuwa na hamu sana kipindi cha mwanzo na mnayatimiza haya sana.

Baada ya miaka miwili na kuendelea kwanini sharti hili halifanyiki tena, utakuta mwanaume tena ndio kashaota mabawa kasahenda aendako akirudi nyumbani analala na kaptula inahusu???? tena wanawake wengine wanasema kabisa yani hata nijaribu kumtua mume wangu kwa mapenzi gani anakataa na kulalamika amechoka asisumbuliwe...laana nyengine za ndoa tunazileta sisi wenyewe wanandoa kwa kukiuka maneno aliyetuambia MUNGU wetu.

Au utamkuta tena mwanamke kwavile mumewe kamuudhi basi usiku analala na jeans inahusu?? tena sio jindi tu ndani kuna kaptula ndani ya kaptula kuna tight na ndani ya tight kuna chupi..ebooo basi tu asiguswe

Jamani miili yetu ndio inayoleta msisimuko wa kuwa pamoja katika sita kwa sita miili inapogusana basi kuna hali ambayo unaishikia inayokupelekea wewe kutaka kuguswa tena na tena na baadaye huzaa mzunguko wa mahaba..

Hata kama mmegombana najuwa wakati mwengine mwenzangu ugomvi ukiwa mbichi hata uniguse vipi hamu haopandi na japo nimelala bila nguo ila tujitahidi kusolve matatizo yetu kabla hatujalala ili tulale kwa amani na upendo hata kwenye ndoto tuotane..hehe heiya chezea ndoa haloooooooooooooo

Jamani mwanamke khanga kitenge umbea unaweza ukajifunika kanga yako upinde mmoja tu ukiwa chumbani ukipanda kitandani khanga unaiweka pembeni tayari kwa kumfuta mume mnapomaliza kufanya maujuzi..

Eboo jamani basi nisiseme mengi ila kwa watakaokuja kufundwa ndio watafundwa zaidi..ni ijumaa hii 26/4/2013 lipia nafasi yako mapema 30,000/= upewe dera uje ufundwe mwanamke..

Mwanamke maujuzi bwana

Reactions:

0 comments:

Post a Comment