Zimebaki siku 7 tu kufikia 26/4/2013 tukafundwe kumbukeni kungwi mkuu ni Sophia ikikaziwa na kungwi/somo yangu dada Rehema..kwahiyo ukumbi mmoja makungwi wawili patawaka moto..tuombe uhai hii sio ya kukosa msisahau kunyoosha viuno maana kibao kata nao wamo ndani siku hiyo..hehe heiya ikikaziwa na nyimbo za taarab na rusha roho usisahau na wale wa dada wa kutuchezea viuno vyao pia watakuwepo..hehe heiya
0 comments:
Post a Comment