Thursday, April 4, 2013

Kitovu...

Kitovu ni sehemu kubwa sana katika maisha ya binadamu na kinahitaji uangalizi wa hali ya juu lakini je unajuwa raha ya kituvu ukiwa chumbani katika mzunguko..shoga kila kiungo kwenye mwili wako ni starehe katika mzunguko..ulikuwa hujui shoga basi ndio nakutaarifu

Kitovu unafanyaje kinaingia nini na unakichezeshaje kwa wakati gani shoga usikose mafundo hayo palepale majestic hall sinza kwa remmy 26/4/2013 kwa kiingilioa cha 30,000/= tu unapewa na dera lako...Mwanamke maujuzi bwana

Reactions:

0 comments:

Post a Comment