Friday, March 29, 2013

Halooooooooooooooooooo

Wapi wanawake basi mashoga zangu ngoja niwape umbea shoga hapa mjini unaambiwa formsix mwanamke unapomaliza hedhi shoga kuna kitu kizuri cha kujisafisha kutoa masalio ukeni unakijuwa kinaitwaje, kipo vipi, kinatumikaje shoga usichezee makungwi hapa mjini mwanamke kufundwa bwana inahusu nini umalize perdiod halafu uumpe mtoto wa mwanamke mwenzio uke unanuka damu..haloooooooooooooo shoga utatupwa kule hujui hata kujisafisha hujafundwa kwenu hata mjini makungwi wakitoa masomo usifundwe utakuwa mwanamke au nini watakuchekea wenzio...halooooooooooooooooooo

Shoga tukutane 26/4/2013 katika mafundo lipia nafasi yako mapema upewe na dera lako usubiri tuliiiiii kama maji mtungini ufundwe chezea makungwi ukumbi utakuwa na makungwi hatari siku hiyo ukishikiliwa na mwenyewewe mtaalamu kungwi sophy toto la temeke..chezea waswahili siye patakuwa hapatoshi huku magomeni, kule wa mabibo linakaziwa na captain mwenyewe mtoto wa temeke..hehe heiya shoga waswahili wote ndani ya ukumbi mmoja usiseme hukuambiwa mapema.

Kwa malipo nipigie 0717 019320 kama mpo zaidi ya watatu tunakuletea madera yako ulipo..tumebakiza wiki mbili tu ya tatu tunatia nanga.

Reactions:

1 comments: