Thursday, February 28, 2013

Utamu wa chapati unaujuwa..hehe heiya

Unashangaa weee nyingi ni tamu ukzila haziishi hamu, kuzikosa ni haramu kuziacha ni ngumu..hehe heiya

chapati za kusukuma hukaangwa mbele na nyuma hukaangwa kwenye chuma mpishi huchutama..haloooooo

kuna chapati za maji hupikwa kwa makini sharti la mpikaji lazima akae chini..hehe heiya

kuna chapati za ufuta ladha yake huvutia shibe iliyowapata wakashindwa kutembea wakazipapasa kuta wakashindwa pa kutokea...hapo sasa

hapo saaaaaaaaaaaaaa wapi wenye nyonga zao haloooooooooooooooooooooooooooo hapo hapo katika kiuno

nyie mwageni tu mkimwagiwa nyie mwapiga makelele... hehe heiya

Reactions:

0 comments:

Post a Comment