Tuesday, January 22, 2013

Naupenda sana mchaichai...

  katika maisha ya binadamu mchaichai ni muhimu sana kwanza unaleta ladha katika kitu unachotaka kula kama ni chai au maandazi wengine mpaka wali wanapikia na maji ya mchaichai..hehe heiya chezea uswahilini kwetu.

Mafuta ya mchaichai yanasaidia kwenye mzunguko haswa siye wanawake kuna wanawake huwa ni wakavu sana na hii husaidia sana kwa matumizi na yote hayo na jinsi ya kuipata unaweza kunipigia 0717 019320

Mafuta ya mchaichai pia husaidia kurelax mwili na hii haswa ni kwa wanaume ndio maana tunasiku tatu ya kufundisha kusinga na tutakuwa tunatumia haswa mafuta haya ya machaichai na vitu vingine vya kusingia pia mafuta hayo huwekwa kwenye chai kulainisha mwili.

Hayo yote na maelezo mengine wanawake tukutane hizo siku tatu za kusinga uweleweshwe zaidi 23/1, 24/1,25/1

Reactions:

0 comments:

Post a Comment