Kesho zinaanza siku zetu tatu za kusinga, jamani wewe unayetaka kuja umeshachaguwa siku yako kati ya kesho mpaka ijumaa wataarifu shoga zako pia waje sio pale mtu anasingwa bila nguo unaanza kujionea aibu shogaaaaa ohoooooo kama unataka kuja nipigie 0717 019320 kiingilio ni 20,000/= mtu mmoja hii ni kwa wanawake tu wanaume yenu mtasubiri siku yetu ya kufunda ambapo sasa hivi nanyi mnaruhusiwa kuja.
0 comments:
Post a Comment