Monday, January 21, 2013

Msaada Tutani...

Dear Rose,

Nimesoma topic yako ya "MZUNGUKO NA UCHAFU WAKE" nikaona ni bora niwasiliane na wewe private ili unijuze maana wewe ni Kungwi. Mimi naishi Sumbawanga ila nimeshawahi kuongea na wewe kwa simu na nilikuambia kuwa nitakapo kuja Dar nitakutafuta unijuze zaidi. Hili suala la kujisafisha kwa mimi limekua linanitatiza sana. Mara nyingi nimeona wanaume wengi wamekuwa wanawaacha wanaweke zao au wake zao wanaojua kujisafisha na kujinukisha na kwenda kwa wanuka. Hapa nina maana kuwa unakuta mtu na mkewe na house girl, ambapo huyu house girl hajui hata kujisafisha yaani katoka shamba ananuka jasho mtindo mmoja chupi zake haziangaliki wewe Mama ndio unakua na kazi ya kuanza kumsaidia msichana kuwa msafi. Lakini cha ajabu kama Baba ana hurka yake basi unakuta anamnyemelea yule binti mwenye utoko na akishaonja akakutana na ule utoko (nimeona kuna mtu kasema anakuwa kama ameingizwa kwenye mtindi) basi Bwana huyo humwambii kitu kwa huyo binti yaani binti anakuwa mtamu kuliko maelezo wengine hufikia hatua hata ya kuacha wake zao. Sasa na huku nilipo pia wana hiyo tabia yaani wasichana wananuka chupi zao huziangalii mara mbili ila kwa kweli ndoa zao kuvunjika ni nadra na pia biashara ya kumsafisha bibi hawana tena huku ukimkuta wa bush ananuka kama uvundo maana nasikia wao jadi yao mwanamke akishalala na mwanaume anaweza kukaa hata siku tatu ndio akusafishe kwa bibi. Katika uliza yangu ndio nikaambiwa kuwa utoko ndio utamu wenyewe ila sema sex ya siku hizi imekuja na kulambana huko chini kama ice cream ndio inabidi huo utoko utolewe maana haukuumbwa special kwa mdomo bali mtunguli wa mwanaume. Na ndio maana kuna wakati utoko upo kuna wakati haupo

Sasa kungwi hebu naomba unijuze ukweli kuhusu hili.
 

Reactions:

4 comments:

 1. Mamii, kwanza kabisa nataka ufahamu vitu vitatu kuhusiana swali lako,
  MOJA: mwanamke kama mwanamke unapoanza kujitambua kwamba wewe ni nani wakati unajifanyia usafi kama utakumbuka ulikuwa ukiingiza kidole ukeni ndani unaona kabisa kunabana yani panakuwa padogo na pamefunga huko kufunga ndio starehe kubwa kwa mwanaume anaona raha sana unapokutana na mwanaume wa kwanza, wa pili, wa tatu mara ukaolewa na baadaye kuzaa mtoto na hapa naongelea zaidi kwa njia ya kusukuma basi zile nyama zinakuwa zinaisha ndio maana kuna wanawake wengi ambao nimeshakutana nao wananiambia tokea wamezaa mtoto wa pili au wa tatu wamekuwa wazi sana huko chini hiyo ndio sababu na mpaka umpate mume mwerevu na anayekupenda atakuambia mke wangu siku hizi huku chini kuna mabadiliko lakini kama sio mwelewa ndio hukuacha na kufwata dogodogo hao unaosema kama mahouse girl.
  PILI: wanaume wanaacha wake zao na kufwata hao dogodogo ama mahouse girl kwasababu hao bado hawajakutana na wanaume wanakuwa bado fresh na wanakuwa bado wanazile nyama zinazowapa wanaume raha ambazo kwa mkewe zimekwisha ndio maana hata siku moja huwezi kumkuta mume wa mtu amemuacha mkewe akafwata mama mtu mzima au mwanamke aliyemkubwa kuliko mkewe hakuna hata siku moja kitu kama hicho hiyo ndio sababu
  TATU: mwanaume malaya dada ni malaya na hulka yake ni umalaya mwanaume malaya haangalii huyu mwanamke ni nani kama ni mchafu ama msafi mzuri ama mbaya yeye tundu ni tundu na ndio akilikuta fresh atalipiga hilo mpaka lichoke likichoka baadaye atamfwata mwengine akimkuta msafi sawa akimkuta mchafu twende ilimradi yeye anapata anachotaka na anakipata sawasawa na anakifurahia

  ReplyDelete
 2. Hivi madakatari wanasemaje kuhusu hili la kujisafisha na kujiingiza vidole ukeni mara kwa mara? Nimekutana na makala hii hebu someni....
  http://www.nhs.uk/Livewell/vagina-health/Pages/keep-vagina-clean.aspx

  ReplyDelete
  Replies
  1. jamani mbona hiyo website haifunguki lakini mm nachua kujisafisha mara kwa mara kwa kujiingiza vidole huleta matatizo maana tunaweza jiingiza bakteria nk hii niliwahi sikia ktika vipindi mbalimbali vya mafya vitolewavyo na madaktari ss huwa napata tabu pale ninapoyaweka mawazo haya mezani nimfuate Daktari au kungwi basi kazi kwelikweli.

   Delete
 3. jmn ss ule utoko utatokaje?

  ReplyDelete