Wednesday, January 30, 2013

MWANAMKE CHAUPEPO...

 Hawakama ni graph basi inaongezeka huku ikiongezeka...Waingereza wanasema Increasing in Increasing Rate!VYAUPEPO!
Jumatatu yuko Samaki Samaki...
Jumanne yuko Club Rouge...
Jumatano yuko New Palm Bar kwenye Baikoko na Friends.....
Alhamisi yuko Ladies Free Billicanas...
Ijumaa yuko Elements....
Jumamosi yuko Runway.....
Jumapili yuko Skylite Band Thai Village.....
Ana Ratiba kama Mbunge wa Msovero!

Unajua kuna mambo Wanaume wanafanya,sawa,ila Wanawake mkiiga wala haifai...mtasema mbona Wanaume wanafanya,lakini ukweli unabakia palepale,Mwanamke Chaupepo wa usiku ana-raise lots of Question Marks...Lots.....

Mama wa nyumba ajaye,anapepea haifai,hata Bendera ya Mwenyekiti wa Kijiji haikufikii,Wiki nzima una mishe,hujali hela ngapi umetumia kama kweli ni za kwako unajitegemea,but it shows that HUNA FOCUS....

Na hili lina-apply hata kwa Wanaume,siku 4 kwa Wiki zote unatoka,hata kama unatumia 20thou kwa siku,still its too much...ukisave hiyo hela unanunua tofali za kutosha tu....Mtalalamika ujenzi shida lakini hela unazokula gambe ili bata ikuzoee ukiichange FOCUS yako kidogo utashangaa kibanda kinainuka taratibu...Siongei Rocket Science,inawezekana,Nimeona na ninazidi kuona....Change ur focus and things around you will change...MEN,HEAR THIS

hahahahahaha nimeitoa hii sehemu nimeona niwawekee hapa tujifunze kwa pamoja.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment