Wednesday, January 9, 2013

Kisa kirefu sana ila someni mumsaidie huyu msichana....

habari yako dada rose.pole kwa kazi yako ngumu ya kuelimisha jamii.mimi ni mpya katika blog yako na kwa muda mchache nlipoanza kuitembelea nimeona itanifaa kunipa ushauri katka tatzo langu.mi ni msichana wa miaka 24.nina boyfrnd wangu ambae niko nae kwa muda wa miaka mitano sasa yeye ana asili ya uarabu.tatzo lililopo ni mgogoro usioisha na mpenzi wangu huyu mgogoro huo umeanzia nilipokuwa nasoma chuo nilikuwa na rafiki yangu mvulana wa kawaida wa chuo ambae tulikuwa close sana but uclose wetu ulikuwa katika kuchat japo tulikuwa tunasoma darasa moja but tulikuwa hatuzoean live but kwny simu katika kuchat tu.mpenzi wangu alikuwa si mtu wa kupenda kuchat na mara nyngi nilipokuwa namuomba tuchat alikuwa anasema hana crdt na kwa kipind hiko hakuwa na hali nzuri kifedha na wakati huo alikuwa dar mi niko chuo mkoa mwngn so muda mwingi nilikuwa na chat na hyo rafiki wangu wa chuo, kwa kweli tulizoa kuchat sana na hyu rafiki angu kiac kwmb tulianza kusex chat na hata kuitana hny na D but sikuwah ata kidogo kuwaza kumcheat mpnz wangu kwa kusex nae kweli huyu rafik yangu na yy alikuwa anajua nina boyfrnd na hakuwah ata kunitongoza na ilikuwa tukionana live darasan kila mtu na tyme yake tu. siku moja nilipanga na mpnz wangu nirud dar cz amenimic so tuspend siku nzima then nirud chuo so nikarudi dar siku hiyo tukafikia gest. tukaanza kushikana shikana ili tupeane mzunguko alinifnyia romance ya muda mrefu kiasi kwamb nilikuwa hoi mpk nikawa nimuomba amalizie tu game but akakataa akasema hataki mbele anataka nyuma mi nikakataa.kukataa akanisusa huku hisia zikiwa juu cz of romance alonipa nikajaribu kumbembeleza tufanye kikawaida alikataa akaninunia kabisa na mimi nkaamua ninune ye akavaa zake akasma ananiacha hawezi kulala na mimi siku hiyo akatoka kweli nje.mi nkabaki zangu ndani nafikiria kilichotokea.mara akarud akalala kweny sakafu gest mi nikawa kitandani.

sikutaka kuumiza kichwa changu kwa alichokifanya so nkaamua nichukue simu yangu niingie kuchat kwny application moja ya simu inaitwa mig33 nichat tu na watu watakaokuwa onlyne muda huo.hamadi!yule rafik yangu wa chuo alikuwa onlyne akaanza kuchat na miimi alijua kwamba nimeenda dar but hakujua wakati huo nimelala na byfrnd wang gest alijua niko nyumbani kwetu.tulikuwa tunachat vtu vya kawaida tu na katika msg mojawapo alontumia alikuwa ameniambia kwamba mimi ni rafiki yake mkubwa sana na i mean alot na kwmba ata tukimaliza chuo tusitupane.mara boyfrnd wngu akakurupuka kuona niko buzy na simu akaniulza unachat na nan nikampa simu akaanza kusoma msg.sasa kuona ile msg ya kwamba sijui u mean a lot to me na zle hny za hapa na pale akajua ni bwana wangu tukaanza kugombana.kwa kweli nililia usiku mzma kumbembeleza kwmba sio bwana angu kwa kweli kwa siku ile tulibreak.

mi nilirud chuo sikumuhadithia chchote yule rafiki yangu but nilimwambia kwamba nigmbana na byfrnd wang na tumeachana bt sikumwabia sababu ya ugomvi.siku zikaenda tukaelewana na byfrnd wangu tukarudiana na yule rafiki yangu nilikuwa namu update kila kinachoendelea maishani mwangu.katika kurudiana kwetu bf wangu alinipa shart kwamb nicwasiliane nae wala kuendelea na urafiki nae yule rafiki yangu but kutokana na mazngra nilonayo chuo sikuwa na marafiki wengine zaidi ya yeye na marafiki zake wengine kama wawili ambao pia walikuwa marafik zangu pamoja na rummates wangu. mbali na hapo yeye alikuwa na akili sana yan masomo mengi alikuwa anayamudu so alikuwa msaada wangu kimasomo so niliendelea kuwa na urafiki nae but wa siri.muda ukaisha wa chuo tukamaliza nikarudi dar kwetu.hapo sasa ndo nilikuja kuyapata mateso ya roho.

kwanza bila kusahau niliporudiana nae baada ya ugomvi akaja kuniomba tena tufanye mapenz kinyume cha maumbile mtoto wa kike kutaka kulilinda penz nilifanya huku akiniahid mambo kibao kwamba ntakapomaliza chuo ataniona so nisijali aibu ya kuja kujulikana na mwanaume mwngin kwmb nliwah kuliwa nyuma. so ikawa kila tukionana lazma atake ata moja nyuma.siku nyingine nlimpa siku nyngine nilibana but ndo nilishatoa tayari.

sasa nikiwa nyumbani nikiendelea kutafuta ajira huyu mwanaume(boyfrnd wangu) akarudisha tena ule ugomvi wa rafik yangu wa chuo kwa kuanza kuning'ang'ania kwamba niconfess kwmb nilisex nae.nilijitetea sana but hakunielewa.alifikia kuniambia kuna rafik yake anafanya kaz kwny mtandao wa simu wa laini ninayoitumia kaprint msg zote znaonesha tulikuwa wapenz hilo jambo lilinishtusha likanifanya niconfess kwamb nilikuwa nasxchat nae tu but si kusex phisically nadhani nilivomwambia hvo alianza kuhisi alichokuwa anasema kina ukweli kwamba nilisex nae.tukapanga tuonane ili anioneshe hizo msg znazoonesha tulivyokuwa tunapanga pa kufanyia mambo yetu alinibana sana mpka ikanibidi nikubali kwmba nimesex nae ili nilililnde penzi maana aliniahid nikikubali na kuomba msamaha atanisamehe nami nkafanya hivo ndo akakubali tukutane anioneshe hizo msg.siku tumekutana cha kwanza kuniambia ni kwamba nimpgie yule rafik yangu na nimwmbie nina mimba yake ili ajue yule mwanaume atasema chchote cha kuonyesha tuna uhusiano mi nkampigia yule rafiki yangu nikamwambia kama nilivyoelekezwa.kwa kweli alishtuka na kukata simu hakutegemea kama ningemwambia maneno yale cz hatukuwah kufanya kitu chochote.nikapiga tena simu akapokea nkamwambia tena yaleyale maneno.kwa kweli alilalamika sana kwamba kwanini nasema maneno yale wakati hatujawah kufanya chchote!yote hayo boyfrnd wangu alikuwa anasikiliza.na aliporidhika kusikia alichosikia akaniambia nikate simu.nilipokata simu akaniuliza 'kwa hiyo haujawahi kusex na huyo mwnaume nikamjbu ndio akaonyesha kufurahi mpaka kunikumbatia na kuniomba msamaha.kwa wakati huo ugomvi huo ulionekana kuisha.tukakaa wiki moja akaja kuniambia kwamba nimemchezea mchezo mchafu kwa kumpanga maneno yule rafiki yngu kwa kweli ilirudi ugomv pale pale ikawa kila siku nikikutana nae ananiambia nimpigie simu yule rafiki yangu na kunifundisha maneno ya kumwambia ili ye ajue ukwli na kwa kweli hamna chchte tulichowahi kufanya na yule rafiki yangu zaidi ya kusexchat na ata ye mwenyewe alitaja hilo jambo but wap hakuna lililokuwa linamuingia byfrnd wng.ilifika time yule rafiki yangu akaona kero simu zangu na akachange namba ili asipatikane.hapo ndo palikuwa pabaya zaidi cz boyfrnd wangu akazid kupata sababu za kuamini alichokuwa anaamini aliniambia kwamba huyo rafiki yangu kaona kero cz kitu alichotaka kwangu si ashapata.jamani hakukuwa na mapenz hapo ikawa kila siku ni kutukanwa kulumbana na kuachwa na kurudiwa tu.sasa imefika mwaka mambo ni hayo hayo ilifika wakati nikabidi nilikubali kosa na niombe msamaha but ananiwekea vikwazo kwmba niapie na msahafu na maviapo makubwa nikiona hivo naishia kusema ukweli halisi kwamba sikusex na huyo rafik yangu wala mwanaume mwngine yyt huyo toka nianze mapenzi na yeye but hanieleewi nimeapa kila kiapo kumuaminishia bado hanielewi.nimejaribu kumuacha lakini siwezi nampenda sana sana sana sna nae kuniacha anajishtukia sijui ndo ananipenda sana sielewi.

sasa siku hizi za karibuni kaniambia ameenda kumchumbia msichana mwngn na kamuoa cz of stress.mi nkamwmbia niko tayari kuwa mke wa pili kwake ila alichoniambia kwamba ananipenda sana but hawezi kunioa ata mke wa pili kama sijakubali kosa na kutubia la sivyo tutaendelea kuishi hivi hv bila kuoana na migogoro juu na kuendelea kuchezewa bila malengo.

sasa jamani mi ntafanya nini cz kumuacha siwezi mpaka sasa nimejaribu kwa nguvu zangu zote nampenda sana na ata kama nikikubali kosa japo sijalifanya anataka niape kwa ninachokisema tena viapo vikubwa vikubwa ambavyo mimi vinanishinda cz ntakuwa naaapia uongo .na nikisema ukweli hakubali ananiambia haiwezekani niwe nasex chat na mwnaume miaka miwili bila kusex nae na wakati tunaonana karibu kila siku.kwa kweli kwa hatua nililpofikia nimechanganyikiwa sijui nifanye nini.kuna wakati nataman ata kujidhuru mungu apishie mbali.sasa naomba ushauri dada rose na wadau wote wa blog yako.samahani kwa kuandika stori ndefu kiasi hiki sikujua jns ya kuifupisha.asante kwa muda wako.Reactions:

20 comments:

 1. Yani ningekuwa karibu na wewe ningikupchapa acha upumbavu kama hakuelewi achana naye kwani umeambiwa huyo ndio mume wako??? anza kwanza kwa kutubu dhambi zako kwa MUNGU kwa kwenda kinyume na maumbile simama anza upya maisha wanaume wapo kibao unang'ang'ania penzi ambalo sio lako??????? halafu mke wa pili???? wakati unaweza kuwa mke pekee wa mwanaume fulani acha upumbavu na ujinga achana na huyo mwanaume badilisha numbey ya simu anza maisha mapya. mwanaume anayekufanya ukosane na marafiki zako siku akikuoa atakufanya ukosane na kutengana mpaka na wazazi wako kisaa nini penzi au upumbavu huo.

  Jipange kabla hujachelewa na kusema hawezi kukuacha kisa unadhani anakupenda kama anakupenda siangekuoa wewe? kwanini akaoe mwengine ama unakuwa naye kwasababu ya mazoea..mmhh hapana mimi sina zaidi la kusema

  ReplyDelete
  Replies
  1. kweli dada rose nadhani ni mazoea tu ndo yanayonisumbua sasa hivi maana nikisema mapenzi sasa hivi sioni ata utamu wa hilo penzi kwa jinsi mfarakano huu unavyotibua sina raha wala amani bora nifate ushauri wako kwa kweli sina jinsi na sina ninachokipata katka hili zaid.asante kwa ushauri wako dada ntaufanyia kazi na maendeleo yangu ntakwambia.

   Delete
  2. For real my dear unakosea,usikubali hisia za moyo wako zikashindana na akili yako, kuwa stabble ,uyo mwanaume hana mapenz ya kweli na ww, na ndio maana kaamua kwenda kuchumbia kwingine ambako usikute huko yule mwenzako hajatoa iyo tigo, jalibu kushinda hisia zako,omba anza upya maisha yako ,unaweza na ukapata mwanaume mzuri tu ,uyo mwanaume hata kama mmeka mda mrefu akupendi, uyoo dia! Simama uombe mungu atakusaidia dada yangu

   Delete
 2. Katika hali hiyo, wewe unampenda kwa lipi? Unataka kuanza kuvaa nepi kama mtoto mchanga? Maana ukiendelea kutoa nyuma utaishia kuvaa nepi au kwa vile mwarabu atakununulia kidani cha kuziba huko! Au unataka kuzaa naye mtoto wa kiarabu!!! Ushahidi unaonesha kwamba, Mwanaume akikutumia kinyume na maumbile, kamwe hawezi kukuoa! Sababu ni kwamba anawaza kwamba na wanaume wengine pia unawapa huko!

  Pamoja na hayo, wewe Dada nadhani huna Imani na pia huendi Kanisani/Msikitini. Madhahebu yote ya Kweli ya Dini yanalikataa tendo hilo. Vitabu navyo vimeeleza kwa kina kuhusu madhara ya kutoa nyuma! Ok, labda shetwaan alikuingia. Naomba sasa Utubu na uweke nadhiri kwamba hutatoa maumbile yako ya nyuma kwa ajili ya kumstarehesha mwanaume yoyote hapa duniani, na pia hutamtaka tena huyo ibilisi boyfriend wako! dada wanaume wapo wengi na wanatafuta wadada kama wewe. Tulia, Mwombe Mungu utampata Mume sahihi. Anza kuswali/kusali kwa bidii na Imani. Ukimwendekeza huyo jamaa yako tako litatepeta na mkundu kuanza kutoa maji. Acha kabisa.

  ReplyDelete
 3. ww bdo binti mdgo cna wajitesa na mapenzi???????????maisha yangu nilisema swz kulia coz of mwanaume coz yy ananenepa ww unakonda,chapa lapa mna kashakutatulia malinda ya nyuma bdo tu unamgangania!?yn mie alivyoniomba nyuma ndo ingekuwa mwisho cku iyo iyo.kma alivyosema da rose badaili no na utapta mume wa peke yako.

  ReplyDelete
 4. For real my dear unakosea,usikubali hisia za moyo wako zikashindana na akili yako, kuwa stabble ,uyo mwanaume hana mapenz ya kweli na ww, na ndio maana kaamua kwenda kuchumbia kwingine ambako usikute huko yule mwenzako hajatoa iyo tigo, jalibu kushinda hisia zako,omba anza upya maisha yako ,unaweza na ukapata mwanaume mzuri tu ,uyo mwanaume hata kama mmeka mda mrefu akupendi, uyoo dia! Simama uombe mungu atakusaidia dada yangu

  ReplyDelete
 5. mbona comments/ushauri mwingine ukitolewa hauonekani kwenye blog???

  ReplyDelete
 6. inasikitisha sana, mdogo wangu kimbia kwa huyo mwanaume hakupendi hata kidogo yeye anataka kukuchezea na ndo lilikuwa lengo lake. pole ameshatimiza alichokuwa anakitaka, cha msingi hapo achana naye nenda kaanze maisha upyaaa kupenda utakuja kupenda tuu kwa right person, achana naye huyo hakupendiii

  ReplyDelete
 7. yaani hapo dada umechemka kabisa, kutoa tigo kisa kumpenda mtu loh, me siku ya kwanza tu kuniomba hiyo kitu ndo ingekuwa baibai, ukiona mwanaume anaanza ooh nipe tigo ujue hana mapenzi huyo anataka kukutumia....eti unasema umeshindwa kumuacha hivi kwa mfano akifa we huwezi kuishi utakufa pia? acha mawasiliano nae badilisha simu na usije kumpigia hata cku moja, nenda kakae nae mbali, mtafute huyo rafiki wa chat na umuombe msamaha, anzisha mahusiano mapya usahau ya nyuma kabisa, utamsahau tu na maisha yako yataendelea vizuri...kaa nae mbali huyo atakuharibia future yako...

  ReplyDelete
 8. nlofikwa na tatizoJanuary 17, 2013 at 4:24 AM

  jamani asanteni sanaaa kwa kujitokeza kuisoma na kucomment mmenisaidia sana maana nimeweza kufanya maamuzi yaliyo sahihi kwa kuachana nae baada ya kuona kwamba nililokuwa nalifanya sio nashukuru sana sana sana nimeamua kupumzika na mambo ya uhusiano kwa muda maana naona kama nikifanya haraka ntakuja kuingia kwa watu wale wale.

  ReplyDelete
 9. acha utoto we dada growup huyo mwanaume hakupendi kabisa he is just using you, acha upumbavu achana nae, kwani hakuna wanaume wengine wanaokutafuta?kwanza kakudhalilisha sana kwa kumpa kinyume na maumbile next time fikiria kabla hujatenda kitu,i wish ningekuwa karibu na wewe ningekuzaba vibao.

  ReplyDelete
 10. njoo na mimi niwe nakukula............ila na mm masharti yangu ni kwamba uachane na huyo jamaa.

  ReplyDelete
 11. Nlofikwa na tatizo: Good umeachana na huyo jamaa, alikuwa anakupotezea muda tu na kukupa stress bure!!! Yule lafik yako wa chuo ulifanya vibaya sana kumsingizia kuwa ulisex nae kwa kuwa tu bf wako alikulazimisha useme hivyo!! pengine huyo jamaa wa chuo ndo angekufaa kimapenzi....

  ReplyDelete
 12. duh ww umerogwa..ar u serious..hayo yote unafanya kwa lipi hasa..?..hebu acha ujinga wanaume wapo wengi km yy hakuelew yupo atakayekuelewa...ACHANA NAYE.

  ReplyDelete
 13. ACHA UJINGA HAKUNA MWANAUME ANAEKUPENDA KWA DHATI ATAKUINGILIA KINYUME CHA MAUMBILE. JIPANGE UCJE UKAHARIBU MAISHA YAKO.

  ReplyDelete
 14. anonymous sept24,2013
  kilicho kuzingua mpaka ukaamua kutoa tigo ni ule uasili aliokuwa nao huyo shetani wako sijawahikuona mtu anaye kupenda kwa dhati anafanya mambo ya kishenzi uzalilisha na ushetani kama huyo shetani wako mbona wanaume wako wengi nawe umezidi ubabaishaji ndo maana umefanyiwa hivyo

  ReplyDelete
 15. kilicho kuzingua ni uasili aliokuwa nao huyo bwege wako mbona wanaume wapo wa kumwaga

  ReplyDelete
 16. pole sana dada yangu mungu atakusaidia utapata mwanaume mwingine anaye kupenda kwa dhati-huyo alikuwa anatafuta visingizio tu akumwage.

  ReplyDelete
 17. Kwani kabla yeye ulikuwa huishi peace?iweje leo usiweze kuishi kama Zamani,sahau fanya kama ulitizama bongo movie,naamini utaibua mpenzi akusahaulishe unafiki wa mnafiki mfiraji mkubwa huyo,

  ReplyDelete
 18. Nahisi 'Ulofikwa na tatizo' una matatizo ya kisaikologia. Maana gazeti lote oloshusha lilitosha kabisa kumaliza ishu yote bila hata msaada wa wanajamii. Unahitaji ushauri nasaha ujitambue, ujidrive na usiwe driven... eti geuza huku... na wewe unageuza! what a shame! Sasa huko chuo ulikwenda kufanya nini? au uarabu ulikuzuzua? you have your brain but you don't use it .. you have intentionally decided to left it astray. Kalagabaho

  ReplyDelete