Thursday, January 10, 2013

Uuuuwwwiiiiiii....Mama weeee

Dada, leo nimeingia nikasoma hiyo mada ya huyo dada nimefurahi sana na kujuwa kumbe haya matatizo sasa hivi mjini watu wanayaona ni ya kawaida, yani siku hizi watu hawamuogopi Mungu wao kula nyuma wanaona ni halali yao kabisa.

Mimi nimeoa na mke wangu naona kundi lake la marafiki ni ambao wanawapa wame zao nyuma, mwanzoni mke wangu alikuwa hana hizo tabia kabisa cha kushangaza dada tokea mwaka jana karibia na mwisho siku moja wakati tupo kwenye mzunguko akaniambia kwamba anataka kunipa zawasi ya kufungia mwaka, nilifurahi nikajuwa labda mke wangu ameniletea kitu kizuri sana.

Wakati tumeshaanza mzunguko mambo yakiwa motomoto akaniambia kwamba leo anataka anipe nyuma, kwakweli dada sitakuficha ni jinsi gani nilivyoshangaa yani mpaka mzee akanywea ghafla pale pakawa tena hakuna mapenzi ni mshangao na nikaanza kujiuliza ama huyu mwanamke ameshakutana na mwanaume akamuonjesha nyuma ameshajuwa inavyokuwa sasa anataka kuendelea na huo mchezo.

Nilipomuuliza kama ameshawahi kufanya hivyo tena mwanzo akanuiambia hapana ila anataka tu kujaribu kwa mara ya kwanza, nikamuuliza kwa nini akaniambia anataka tu na kama sintompa ataenda kufwata nje ila anataka nimpe nyuma, kwakuwa mimi na yeye hatukuwa kwenye mapenzi muda mrefu mpaka kuoana nikaanza sasa kujiuliza maswali utakuta hata nyuma alishawahi kufanya hivyo labda ni kwavile sikuwahi kumchunguza ndio maana sikujuwa.

Mimi kumpa mke wangu nyuma nimeshindwa kabisa, yani hapa nikikueleza nina muda mrefu sana sijakutana naye kimwili kwasababu najuwa atataka nyuma na mimi sipo tayari sina uhakika kama bado hajapata mwengine na kumpa maana alishanitamkia kama sintompa atatoa nje dini hairuhusu na wala mimi mwenyewe sitaki.

Nitamfanyaje mke wangu aridhiane nami maana nikigundua analiwa nje nitamuua kwasababu nampenda sana ila kula nyuma siwezi na yeye ananijibu kwa jeuri kwamba anataka la sivyo ndio hivyo huyu mwanamke nimfanyaje mimi naona anataka kunitafutia kesi nikafungwe segerea.

S


Reactions:

3 comments:

 1. hahahahaha...samahani sicheki kwa sababu kisa kinachekesha, nacheka kutokana na sentesi yako ya mwisho 'anakutafutia kesi ukafungwe segerea'....kwa kweli hii vita bado ni ngumu...hivi we mwanamke mzima uliolewa badala ya kuwashauri watoto wadogo waache mambo kama hayo we ndo unayashikia kidedea kabisa, oooh Lord help us...me ninachokushauri mwambie ukweli wako kabisa tena ukiwa serious, kwamba huwezi kufanya upuuzi huo na akijaribu kufanya nje na ukajua utamuua, na umwambie kabisa kama uhuru unaompa wa kuongea na mashost zake anautumia vibaya basi atakuwa hatoki ndani, na akiona hawezi kuishi bila kuliwa tigo akwambie kabisa umpe talaka yake akaliwe kwa nafasi akiwa kwao, na wazazi wake utawaambia sababu ya kumpa talaka...kwa mkwara huo ni mwanamke zuzu pekee atakae ng'ang'ania huo upuuzi...pole sana..

  ReplyDelete
 2. mpige stop kubwa sana na mwambie akiendelea utamrudisha kwao akafuzwe tena au talaka au atatoa yeye na utaita kikao cha ukoo uwaambie sababu ya kumpa mapumziko ya kurudi kwao au talaka!!!kwa mana hii atawaambia wanae wa kiume na kike watoe tako si ni kawaida kwake?uyu mwanamke SODOMA KABISA HAFAI KUWA MAMA HATA KIDOGO

  ReplyDelete
 3. Siku hizi kula tigo kunaanza kuonekana kama sio jambo la ajabu tena hasa likichangiwa na globalization..
  Kwa mtazamo wangu:- Hili sasa ni swala la kimakubaliano kati ya wahusika, huwezi kusema watu wasifanye nyuma sababu bado wataendelea kufanya kwa njia yoyote ile..
  Njia kubwa watu waliyoitumia ni kusambaza propaganda za madhara ya TIGO kiafya, jambo ambalo kitaalamu si kweli kuwa madhara yanayoanishwa na baadhi ya watu kama kushindwa kujifungua, kuvuja kinyesi, wengine wakadiriki hadi kusema kuwa mwanamke anayefirwa wakati wakujifungua mtoto atatokea mkunduni!!!!! Haya mambo si ya kweli na yalienezwa kwa misingi yakutaka watu waogope tendo hilo na wasilfanye kabisa.....
  UKWELI: ni kuwa jambo hili linafanyika sana katika jamii yetu kwasasa na sababu nyingi ni kama zilizoainishwa hapo juu, na ukweli yapo madhara yanayoweza kutokea kama vile maambukizi na matatizo ya kuumizwa physically(kupata tears au lacerations) na kisaikolojia(hasa kwa wale wanaolawitiwa kinguvu)... achana nayale mengine yaki'propaganda'..
  Wapo wanawake waliojaribu either kwa kupenda/kutamani kwao au kwa kuombwa na wenza wao wakaishia kupata maumivu tu na kuacha kufanya kabisa na kuapa kutokufanya tena kamwe!!, wapo ambao pamoja na maumivu waliendelea kufanya ili wasiachwe na wenza wao, na wapo ambao walifanya wakainjoy lakini wakaacha kwa kuona kuwa walichokifanya sio kitu sahihi, kinyume na maumbile kinyume na dini, wapo wanawake ambao walifanya anal sex wakaona raha na wanaendelea kufanya na hata kuapa kuwa hawatoacha kamwe!! na wapo ambao wanafanya bila kuona kuwa kuna raha au kuna maumivu but wanaendelea tu kufanya na hawaachi simply because ndiyo biashara yao!!
  KIPI KIFANYIKE: Nachoona mm nikuwa hatuwezi kuwazuia watu wasifanye jambo hilo especially ikiwa ni jambo linaloleta pleasure na lililogeuzwa mtaji kwa upande mwingine!!
  Kikubwa tuelezane ukweli tusidanganye juu ya madhara ya kusadikika au kutungwa, Watu wa dini wachukue nafasi zao kuwarudisha watu wao ili wa mrudie mungu na waachane na haya(japo wapo viongozi wa dini waliokumbwa na kashfa za kujihusisha pia navitendo hivi, baadhi kw vimada baadhi kwa wake zao) so kila mtu asimamie imani yake na amwabudu na kumuogopa Mungu wake biloa kujali fulani kafanya nini!!
  Kwa wale wanaofuata fantasy zao, Anal sex may be pleasurable if its done properly,
  Mwanamke anatakiwa awe tayari kwa kitendo hicho, kimwili na kiakili, pia anatakiwa arelax na kuwa mkweli wa namna anavyojisikia juu ya kitendo hiki, ukikubali kufanya ukiumia sema!!
  Usikubali kufanya eti kwakuwa unaogopa kuachwa, au unataka pesa mingi!! Ni kawaida mwanamke kushawishiwa/kuombwa, kwa mwanaume kuombwa ale tigo pia hutokea japo si mara nyingi kama mwanamke,so unatakiwa upime na ufanye vijiupekuzi(kusomasoma) juu ya kile unachoombwa angalau uweze ku-anticipate unachotakiwa kukifanya, Ukiona hujaridhia na hupo tayari kamwe na mwenza wako is craving for it, basi njia salama kabisa ni bora uachane naye, kwani ukweli ni kuwa ukigoma wewe ujue atatafuta way out. njia nyingine ambayo haina uhakika (kwa wale wenye mapenzi ya 'mahaba niue', ambaye hawezi kumuacha mwenza wake) ni kujaribu kuongea naye na kumtafutia wataalamu wa Psychology ili waweze kujaribu kumbadilisha, ukiona bado anaomba na ww haupo tayari hakuna jinsi achana naye, ukijidai kuendelea naye ipo siku Utajikuta tu ushamfira
  Ukiamua kula hiyo ndogo usitumie nguvu, wala papara, pia usifanye kukomoa/hardcore, ujue kuwa TIGO haina natural lubrication na unapaswa kutumia artificial lubes nakuwa very slow na kucommunicate na mwenza wako, mwanaume akiwa mtaalamu hatomuumiza mwenza, na wote mtainjoi sana, pia kaka kama ukipewa ufanye kwa usahihi, usiige wale kwenye porno ambao wanafany hard/rough anal sex bila condom wala lubrication!!
  CONDOM IS VERY IMPORTANT, ESPECIALLY IN TIGO SEX!!

  ReplyDelete