Thursday, November 22, 2012

Tumetokelezea...

Mke: Mwanamke ndoa bwana
Mume:Haswa ukiipata

Mke: Siumeona wenyewe tulivyopendeza, ahsante mume wangu kwa gauni zuri
Mume: Ahsante kwa kushukuru mke wangu ila uzuri wako unachangia kukufanya uzidi kupendezaSasa manojifanya kujipendekeza kwa mume wangu nawaambia nitawachakachua hii ni challenge full gear chezea miye weye..

Achana nao hao mke wangu hakuna wakuziba wala kuchukuwa nafasi yako ndio maana nimekuweka wewe ndani..


Sikujuwa kama yellow na silver zinapendeza hivi..uuwiii zinanoga


Kweli njano si  mchezo..

Pictures Source:GRM Production

Reactions:

0 comments:

Post a Comment