Thursday, November 22, 2012

Hehe heiya..Chezea siyeeee

Shoga unayajuwa mafuta ya kitanda wewe, kuna mafuta ya ndimu, mafuta ya vitunguu swaumu, mafuta ya ndulele, mafuta ya ubuyu, mafuta ya karafuu hehe heiya shoga inahusu nini wewe usipende mzunguko wa kitanda, unajuwa jinsi mafuta hayo hutumiwa shoga kama hujui basi utafundwa hiyo 7/12/2012 kama ukija na yatakuwa yanauzwa pale ukajipe raha nyumbani na kumbuka hakuna viingilio vya mlangoni kwahiyo lipia nafasi yako kabla ya siku hiyo..

Reactions:

0 comments:

Post a Comment