Tuesday, October 30, 2012

Hehe heiya...

Chezea kinywaji mlipuko wewe, wengine wanasema kizibo kikikudondokea inakuwa bahati kwako siye tunasema hayo maneno tu hata kwenye khanga yapo..raha ya kinywaji mlipuko unaijuwa? upinde wake unaufahamu, makamuzi yake je? unajuwa kuichezea kitandani ama kuitia mdomoni tu au wewe ndio walewale ukiona mapovu yake unachekelea..nishakupoteza najuwa wala sio hilo unalofikiria tukutane tarehe 7/12/2012 upate maujuzi..kama sifa ya mwanamke sura hata mbuzi jike angesifiwa mwanamke kitanda bwana...

Reactions:

4 comments:

 1. Ni kweli kabisa dada yangu mwanamke kitanda, mwanamke siyo sura kama sura hata wanyama wana sura, wenzetu wansema hivi. mchina katengeneza kila kitu lakin kashindwa kutengeneza kiuno cha mwanamke kifanyeje kazi kitandani hahahaha Grace wa Kimara

  ReplyDelete
 2. hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mwanamke nyonga tako sura na tako hta wanyama wanazo!haruuuuuuuuuu hii itakuwa tamu

  ReplyDelete
 3. Grace nimeipenda hiyo

  ReplyDelete
 4. Nakupendaje Rosemary!! tupe vituu! Sukie.

  ReplyDelete