Monday, January 2, 2012

Dada Rose, hivi unablog mbili? maana kuna blog moja nimeiona jana inaitwa ladies chat mada karibia kumi zote ni zako yani kama zimekuwa copied and pasted kwenye hiyo blog nikawa nashangaa kama yako mbona huitangazi kama tunavyoijuwa mwanamke na nyumba?


Mariana


JIBU

Wadau mimi sina blog nyengine zaidi ya hii na hiyo inayowekwa mada zangu kama unavyosema sijui ni kwanini anafanya hivyo lakini nataka muelewe blog hii sio ya kutunga mambo ya humu kweli yanawatokea watu kwenye ndoa zao na mawazo yenu yanawasaidia sana kutatua matatizo yao ya ndoa, hizi sio story tu ilimradi nionekane nina blog tunasaidiana sana kwenye ndoa zetu kwahiyo hiyo blog siijui na wala sijawahi kuipitia mpaka uliponitumia hii email.

Reactions:

2 comments:

  1. nivizuri wakicopy na kupest dada inamaanisha wamekubali kazi yako, sasa bado wathamini tu wa blog hii nakuombea pia uwapate wengi

    ReplyDelete
  2. Mi sijaolewa ila hii blog naipenda sana kwani ni mambo mengi najifunza kupitia kwa wenzangu walinitangulia.Uzuri wa blog hii watu wanaojibu wako straight forward. Yaani they hit to the point. Washauri wanaweza wakawa wachache lakini message delivered. Keep it up. Naona ni wengi wamevutiwa na kazi yako ndo mana wanachukua na kubandika kwenye mablog yao.

    ReplyDelete