Monday, December 19, 2011

Dada Rose,

hivi kwanini ndoa zetu hizi siku hizi zimekuwa na uchungu, yani mtu unapoolewa wewe unafurahia siku yako ya ndoa na mwaka wa kwanza wa ndoa baada ya hapo ndoa nyingi hubadilika kuwa kilio.

Kama mimi mke wangu alikuwa ananipenda sana lakini sikuuona upendo wake kwangu nikamtenda mara kwa mara nakubali alilia mara kwa mara kwasababu yangu, marafiki zangu ndio waliokuwa wakiniponza nimfanye mke wangu kulia mara kwa mara, narudi usiku sana kutoka kwenye starehe na mara nyingi tukiwa kwenye starehe huwa tunakuwa na vimada kila mmoja wetu na wake.

Japo nilijuwa ni vibaya lakini sikuwa naacha maana niliona zile ndio starehe nikija nyumbani nashindwa hata kumpa mke wangu raha za chumbani ameshaniomba mara kibao najikuta nakataa kwani nakuwa nimechoka sana na mara nyingi ukiangalia nakuwa nimeshatoka kulala na huyo mwanamke wangu wa starehe.

Kumbe yule mwanamke wangu wa starehe alikuwa na bwana nje mwenye pesa lakini alikuwa hajui kumpa raha vizuri kama ninavyompa maana kwa wiki ilikuwa tunakutana mpaka mara tatu na sio bao moja ni zaidi ya mawili, sasa siku tukiwa kwenye starehe zetu pamoja na marafiki zangu kama kawaida akatokea shemeji yangu kaka wa mke wangu wa kuzaliwa kabisa alivyoniona akaja kunisalimia mara yule mwanamke akanyanyuka na kukimbia wote tukashangaa lile tukio na kwavile alikuwa amekaa karibu yangu naamini shem alijuwa yule alikuwa mwanamke wangu.

Shem akaniambia huyo msichana aliyekimbia ni mwanamke wake alimuaga kaenda kwao singida kumbe alikuwa anakula starehe akataka kujua alikuwa pale na nani maana hakumjuwa mtu mwengine zaidi ya mimi basi tukajivunga na kujiuma mara shem akatoa bastola ndio kila mtu kunitaja mimi!!!! sikuamini yani nilisikia kufa maana zaidi ya kumsaliti mdogo wake nilikuwa namla mwanamke wake japo mimi sikujuwa kama alikuwa mwanamke wake.

Kwa hasira alinipiga sana na kunitukana sana nashukuru hakutumia hile bastola yake maana sijui ningekuwa wapi sasa ninachokumbuka baada ya kipigo kile naamka nipo hospital mke wangu akiwa pembeni amekaa kashika tama... nikajuwa sasa balaa limekuwa balaa, hakunitamkia jambo lolote, wakwe zangu na wazazi wangu na ndugu zangu wakawa wanakuja kuniona hospital hamna yeyote aliyeonyesha kujuwa kilichoendelea mpaka tukaishia kwenye ugomvi hule na shem.

Nikapona nikarudi nyumbani mke wangu bado hajaniambia chochote lakini nikawa naona mabadiliko haniambii chochote haniombi tukae tuongee nikichelewa kurudi haniulizi ni kwa nini mpaka naogopa sasa ni kwamba anajuwa anajipanga ama ni nini na nikisema nimuulize naanzaje? na kama hajaambiwa ni kwa nini? maana hapa tu sitaki hata kuonana na shem kwa aibu.

Nimeandika mada hii ili mnishauri nifanyaje maana kwa wakwe nimeharibu na mke wangu simuelewi kabisa nifanye nini maana sina amani nikiwa nyumbani ninavyomuona mke wangu yupo hivyo..

sitataja jina langu maana mke wangu naye hupitia blog yako rose.

6 comments:

  1. Eee Mungu baba naomba ulinde ndoa za watu wote. Ndugu yangu kosa limeshatendeka. Hili unalijua wewe na hata mkeo analitambua hilo. Ukitaka kuwa na amani jishushe na muombe mkeo msamaha. Silent method is the worst and dangerous method one can use to a partner.You will physically and emotionally suffer kama hautamuomba msamaha mkeo. Kosa ni wewe umelitenda na ni wajibu wako kumuomba msamaha. You need to try and create a peace environment in your home lasivyo nyumba yako utaiona chungu. The truth will set you free. I wish you all the best.

    ReplyDelete
  2. NA PIA UACHE UMALAYA, UNA MKE NDANI KILICHOKUKIMBIKA HUKO NJE NI NINI? KAMA HUKUWA TAYARI KUTULIA, WHY MARRYING?? NDOA SIO FASHION ILI WATU WAKUONE, ZA MWIZI 40. U HAVE TO CHANGE, MWOGOPE MUNGU, MHESHIMU MKEO NA WANAO. APOLOGIZE TO YOUR WIFE, TEL HER THE WHOLE TRUTH.... LA SIVYO U MAY DIE KWA STRESS... POLE, ILA UKOME

    ReplyDelete
  3. Mkeo ana mapenzi ya dhati nawe,ingekua si hivyo angekua ameshaondaka tayali.Sasa kwakua wewe ndie ulie likoroga nilazima ulinywe.Naungana na mchangiaji wa kwanza mchukue mkeo mtoe aut tena nenda sehemu nzuri ambayo wajua mkeo hajawai fika.Ndipo kwa unyenyekevu tumia fursa hiyo ya kumuomba msamaha kwa yaliotokea na kumuelewesha si kwamba wewe ndio ulietenganisha ndoa ya ndugu yake ra hasha ulikua hujui kama ni mke wa ndg yake na yule mwanamke alikua anakudanganya.Muhaidi kama hauta rudia tena.ILA USIJE UKAWA MAPEPE TUNAKUSHAULI HAPA KUMBE UNAO WENGI UNAENDELEZA BADO.Mungu akutie nguvu,abariki ndoa yako na aondoe pepo linalo kuzunguka.

    ReplyDelete
  4. Ageikata dudu yako do ugepata hakili umalaya tu.

    ReplyDelete
  5. du! si keshajua tu kutokana nahaya maelezo yako hapa?! au unafikiri kutokutaja jina ndo kutamfanya asielewe wakat situation yote anaijua! pole wewe. nivizuri ukajishusha ukamwambia tu mkeo bila kujari anajua ama hajui ukute anajua ila anakusubiria wewe mwenyewe uombe msamaha mana kuendelea kukaa kimya nikwamba una dharau na kiburi na humuheshimu mkeo nawala usimuone yeye nimjinga kukukalia kimya bila hata kukuliza kilichokupata mpka kupata kipondo hicho na kuzimika hivi wewe huna akili ya kutambua?! so alipokuja hospital na ulipozinduka ukamkuta ulifikiri au unafikiri alijuaje?! tumia akili yako + na yakuambiwa. mana unavyosound utafikiri unatumia matako kufikiri. rafiki zako watakuwa wamemwambia au hata yeye kakake, umekula mkewe mara unamsalit mdogo wake bado tu akustili?! na kwann alikupa kipondo? tena angevunja kabisa hilo tango lako linalokupa kiburi eti unampa mambo huyo kimada, yani kweli unawazia mkunduni wewe tako.

    ReplyDelete
  6. Du! yaani kwa maana nyingine jamaa katembea na dada yake ndio maana akakupa kipondo cha kufa mtu, maana wewe umetembea na mwanamke wake wakati huohuo unatembea na mwanamke wake kumbuka hio mboo yako umeichovya kwa dada mtu, so jamaa akija kula mambo ya sita kwa sita kwa njia moja au nyingine ameonja uke wa dada yake. Cha kufanya ni kutambua kosa ulilofanya kisha kumuomba msamaha, tafuta mahali patulivu ambapo anaweza kukool mind yake na kukusikiliza kwa makini zaidi. Ila uache kuwa kitombi mimi ni mwanamme mwenzako nakuasa.
    Ni mimi Izoo wa Dodoma, Mjengoni.

    ReplyDelete