Friday, November 11, 2011

KIBURUDISHO....

wenzangu matatizo ya ndoa yamekuwa mengi sana siku hizi basi tuanzishe na kisehemu cha kujiburudisha humuhumu ndani ya blog tunamwaga matatizo, maraha ya ndoa na kufundishana jinsi ya kuweka nyumba na kukaa ndani yake, pamoja na picha za send off na kitchen party pamoja na harusi kama unazako unataka pia ziwekwe humu email me the same way kama mnavyotuma mada, tuzidi kuimarisha nyumba zetu ebo huyu shetani wa kuvunja ndoa zetu tumemkataa, katukatu..

Reactions:

1 comments:

  1. weraaa weraaa hili nalo neno, jamani viburudisho hivi muhimu sana vinakua vinakutoa stress, maana sa nyingine mtu unakua huna cha kukukeep busy basi kila jambo humo ndani linakushughulisha mpaka inafika kipindi hata huyo mr unamboa, maana hamna anachokifanya usikoment na hasa kumkosoa na yeye anaona aaah isiwe tabu anaenda zake huko kusiko na karaha, tuwekeni mambo tujiburudishe tufundishane tumkimbize shetani hayawani huyu anaetaka kutuharibia nyumba zetu...mwanamke ndoa babu weeee.....
    tumtum

    ReplyDelete