Friday, November 11, 2011

KITANDA...





leo nitaanza na kitanda nduguzangu kitanda kinataka kiheshimiwe, tena hadhi yake ni ya juu sana maana ukiacha tu kinakunyoosha mgongo ukitoka mizungukoni mwako chenyewe hakilalamiki unavyokipa adhabu kwenye mzunguko wa kiutu mzima ukigeuka hivi kimo, mara kule kimo mara unashuka kukishikilia ili upate pozi zuru bado kimo chenyewe ndio kinakutunzia siri kubwa sana ya uzito wako na jinsi unavyoweza kuhimili mikimiki ya mzunguko, basi kwanini usikitandikie mashuka mazuri, kutwa yawe masafi sio mpaka usubiri wiki nzima ndio ubadilishe mmmhhhh, ya wapi hayo ndugu, kwa wiki shuka kubadilisha mara mbili bibi kama unavyopenda kununua nguo, sijui pafyumu mara pochi ndio hivyohivyo ununue mashuka shosti, sikuhizi joto kali mtu mnatoka majasho sana halafu ndio uyalalie wiki nzima!!!!! haihusu kabisa.


1 comments:

  1. Kitanda cha kwanza na cha mwisho sio vizuri sana waweza kuanguka kama shughuli ni pevu, hivyo vitanda vya kati kati ndio vyenyewe kwa styles mbali mbali! Kungwi

    ReplyDelete