Monday, November 7, 2011

HATAKI KABISA...

Dada Rosemary,

mimi ni mwanaume na nimeoa, tangu kukuwa kwangu na kuona wanawake wa hapa mjini na vituko vyao vyote nikaamua na kujitakia kuoa mwanamke kutoka kijijini, niliapa ya kwamb akuliko kufanyiwa mambo ambayo wanawake wa mjini wanawafanyia waume zao hapa ni kheri nikao mwanamke wa kijijini ambaye nitachaguliwa na wazazi wangu kwani wao ndio wanajuwa kizuri kwangu.

kweli kabisa nilienda kijijini nikaoa kwa kishindo tukaja na hapa dar es salaam tukafanya tena sherehe kubwa tu, na mpaka sasa tuna miezi sita ya ndoa yetu.

kwakweli namshukuru sana MUNGU na wazazi wangu pamoja na wakwe zangu kwa kunipa huyu mke awe wangu,
lakini jamani kila zuri linakasoro mke wangu huyu hataki kuliwe denda, yani hataki kabisa tena ukimsogelea anageukia huko na mara nyengine kukimbia chumbani anasema hawezi kula mate ya mtu mwengine ni uchafu na hawezi kuufanya, nikitaka kumkumbatia nikirudi kazini ama nikiwa naondoka ananikumbatia sekunde moja wakati mimi nataka nimkumbatie muda mrefu nilisikie joto lake na kuhisi mapigo yake ya moyo lakini yeye hataki ananiambia anaona aibu.

mambo yote ni pale kwenye sita kwa sita, dada huyu mashalaah amebarikiwa kwenye kukata kiuno na kunipa raha lakini tatizo lake hamna romance kabla ya kula raha, anataka tu niingie hivyohivyo japo analalamika anaumia sana lakini ni kheri aumie kuliko kumfanyia romance sasa maranyingi anapougulia yale maumivu inafika wakati mwengine mpaka nanywea kabisa nashindwa kuendelea kusonga ugali.

usafi na kazi nyengine zote anazifanya vizuri tu ukiacha hayo niliyowaambia, sasa nimfanyaje ili na yeye aenjoy dada na wengine naomba ushauri wenu.

Ben

6 comments:

  1. pole kaka sas ushauri wangu ni huu mke wako anatembeleaga hizi blog kama uwe unamfundisha awe anasoma hizi habari za mapenzi labda anaweza akajifunza kitu au mtafutie kugwi wakumfundisha mapenzi unavyoelezea ni mke mzuri tu japo hajajua vizuri habari ya mapenzi endelea kumfundisha taratibu atazoea na atajua tu pole kaka ndio maisha bora huyu alietoka kijijini kuliko ungeoa lishangingi goodluck

    ReplyDelete
  2. Kaka umeshasema umemtoa bush unategemea nini,mfundishe,kwani hamuangalii senema na vitu kama hivyo,kashazoea mapenzi ya bush kwani ulimkuta bikira?bush unapiga demu mtama unakula ngoma hakuna romance,ila wa kijijini akibadilika ni wabaya hao

    ReplyDelete
  3. Hongera kwa kwenda kuoa kijijini.Kwa mtazamo wangu huyo mke ni mzuri kwako ila hajapata exposure kutokana na mazingira aliyokulia.Kwa hiyo nakushauri umfundishe taratibu umuhimu wa kufanya romance kabla ya tendo la ndoa na ikiwezekana angalia naye mikanda ya x ili aone watu wanafanyaje.Nina imani kuwa kuwa atabadilika na mtafurahia ndoa yenu wote

    ReplyDelete
  4. Kaka pole na hongera kwa kupata mke mzuri...Sasa ndugu yangu huyu mke wako inawezekana hakupewa somo huko alikotoka mana kama unavyojua tena maisha ya kijijini..wasichana wanaambiwa majukumu yao kama mama eg usafi na kupika chakula kizuri na kumpa mme haki yake. Sasa basi hakijaharibika kitu..tafuta kungwi wa kumpa somo..kitaeleweka tu..akishapata somo ataelewa na kujifunza...i wish u all the best

    ReplyDelete
  5. mfundishe mwambie kuwa ukimfanyia romance hatackia maumivu yani akikolewa na romance yy mwenyewe ataomba mb.. iingie tena atakuwa anaishika mwenyewe anaiweka mana ataona km ww unamchelewesha. Pia nunua pcha za X muwe mnaangalia wote ili ajue watu wanafanya vp mapenz lkn ktk hzo pcha kuna mambo c ya kuiga km kuruka ukuta n HATARIIII

    ReplyDelete
  6. kaka pole sana nakushauri ununua picha za kihindi

    zenye love story au picha za kizungu zinazo ingia deep .sio zile za xx zinafundisha uchafu labda uziedit utoe yale ya Tigo express ata zoea tuu,taratibu

    ReplyDelete