Thursday, October 20, 2011

WA KWANZA NI WAKO WAPILI JE.....

HILI NI TATIZO KUBWA SANA KWA WANAWAKE.......


leo nataka niongelee mzunguko wa sita kwa sita, wanaume wengi wanalalamika ya kwamba mwanamke wake mzunguko wa kwanza ndio anaenda vizuri lakini mingine anakaa tu kumfurahisha mwanaume, wanaume wengine wanalalamika mwanamke wake akienda mzunguko wa kwanza hataki tena wa pili, na wengine wanasema anajitahidi sana asifike kilele mapema ili asonge mda mrefu maana akitoka tu ndio basi hakaribishwi tena ulingoni.

SASA KWA NINI IWE HIVI....


mwanaume kwanza nataka uelewe mwanamke sio uwanja wa mazoezi kuonyesheana ubabe, ya kwamba unaweza kumparamia ukamaliza shida zako ukitaka tena umgeuze uparamie umalize shida zako, na pili mwanamke unajielewa??? unajuwa unachokitaka kwenye sita kwa sita ama kwasababu ni lazima ufanya atakavyo mwanaume na wewe unakuwa mtumwa wa mapenzi...

UNAFAHAMU...


kama hamna raha kama raha ya kufika kilele??? hamna raha kama ya kufika kilele na mapenzi tele yani umemshika umpendaye na kumuona unampa raha mpaka anafurahia..

MWANAUME UFANYAJE ILI AENDE MZUNGUKO ZAIDI YA MMOJA....


mwanamke unapoanza naye mzunguko wa kwanza akikisha umemuandaa vizuri halafu muende mzunguko wa kwanza, mtakapomaliza mpe raha, mbusu, msifie raha alizokupa, (hata kama hawezi vizuri) mfanye afurahie kile kitendo mlichofanya sio ukimaliza unageukia upande wa pili unatafuta usingizi madai manachoka sana kuliko wanawake pale unamkata kabisa hamu mwanamke kwani akishatoa zile hisia za sita kwa sita kuzirudisha ni ngumu mno ndio maana

huwa hawafurahii mzunguko wa pili. unapomsifia anajisikia raha ya kwamba umefurahia alicho kupa hata ukiomba mara ya pili atajipanga vizuri zaidi ili apate sifa tena si ameshajuwa umependa raha zake...


mwanaume ukitaka mzunguko wa pili, usirudie tena zile njia ulizofanya mara ya kwanza kumlainisha mwanamke kuwa mbunifu tafuta njia nyengine kama anagalieni mikanda ya watu wazima hizi huamsha hisia sana na itamfanya mwanamke kwenda mzunguko wa pili kwa raha na atafurahia sana. (sasa wewe mkurupushe bila kumuandaa uone kama hajalala kama gogo).


ukitaka mzunguko wa tatu mfanye kama mchezo labda umwambie yeye ndio awemshika dau yani akupe raha wewe, akuonyeshe ujuzi wake mpaka usikie raha na wewe mwanamke anavyojitahidi sio ndio unakuwa mgumu kama godoro dodoma, jibaraguze mara umsifie mara ucheke yani wakati anakupa wewe raha na wewe umpe yeye hata kwa maneno matamu lazima mtaishia kwenye mzunguko wa tatu..


ukitaka wa nne sasa itakuwa balaa...(hamlali)!!!!!

MWANAMKE UKITAKA KWENDA MZUNGUKO ZAIDI YA MMOJA..


akikisha umejijua unachokitaka kwenye sita kwa sita, kama hutaki aingie bila kupeleka ulimi mwambie aelewe sio anakushika na mkono mwisho akuschubue kutakuwa kuna raha tena hapo ama wewe unaugulia yeye anapata raha utaenda tena wa pili???? maana zile zilivyo na chumvichumvi zikikuingia tu alipokukwaruza ishu ama ukienda kukojoa mkojo ukagusa vodonda balaa unaugulia tu mwenyewe yeye habari hana..mueleze unachotaka.


kama mwanaume hajawahi kwenda chumvini na wewe unataka basi anza kwa kumuonyesha yeye wewe zama kwake atakaposikia raha basi umwambie na wewe ajaribu lazima ataona aibu atajaribu kidogokidogo ataweza na akisha juwa atakuwa mwalimu kuliko wewe uliyemfunza na mtafurahia hilo tendo.


kuna style nyengine wanaume hupenda kuwakunja wanawake zao wengine hufurahia na kupata raha lakini wengine haswa wafupi hupata tabu basi sio kisa yeye anapata raha wewe nido ukae kimya maana style hizi hukunjwa haswa mzunguko wa pili na watatu.


kisa unajuwa kukata kiuno basi usijifanye ndio bendi ile unaonyesha pambano, elewa style za kukata kiuno na style nyengine jipinde tu mwanamke uenjoy relax usikie raha maana kukata kiuno na kuingizwa ni kazi mbili kwa mpigo wakati wmengine unachoka acha kijana ashughulike wewe msikilizie tu anavyokupa raha huku ukimsifia kwa maneno matamu ajisikie kidume.


NJIA HIZI ZITATUSAIDIA KWENDA MZUNGUKO ZAIDI YA MMOJA JAMANI ILI RAHA MUIPATE WOTE KWANI RAHA YA SUFURIA MWIKO USONGE UGALI UKASONGEKA, UKAIVA, UKAPAKULIWA, UKALIWA NA KUTUSHIBISHA........

0 comments:

Post a Comment