Thursday, October 20, 2011

DAWA YA CHUNUSI KWA WANAUME...

kuna kipindi niliandika mada kuhusu dawa ya chunusi kwa wanawake (kutumia shahawa) nadhani wengi mtakuwa mmeisoma, sasa basi wanaume nao wamekuja juu kwamba na wao je dawa ya chunusi zao ni nini????


kwa uelewa wangu shahawa za mwanaume sio tu dawa ya chunusi yani husaidia ngozi kuwa laini na nyororo na kukuepusha kuwa na vichunusi, sasa uhakika wa dawa za wanaume za chunusi zaidi ya zinazouzwa kwenye maduka ya dawa nisidanganye sijui..


maana tungesema shahawa za kike, kwani mwanamke anatoa shahawa nyingi kama za kiume mpaka uweze kujipaka usoni????? labda kutumia vitu vya asili kama manjano, alovera na maziwa pamoja na mayai ambayo husaidia ngozi yoyote ile ya kike ama kiume.


labda kwa wenzetu wengine wanaojuwa wao wanaweza kutufahamisha.

0 comments:

Post a Comment