Wednesday, October 26, 2011

NIMESIKITISHWA SANA 2...

huu ni muendelezo wa story hiyo chini bwana harusi haikufungwa yule dada alikataa kuolewa kwa kudai kuwa kama mumewe mtarajiwa angeweza kuwa na kimada kabla ya ndoa inamaana baada ya ndoa ndio utakuwa mchezo wake, basi bibi harusi zawadi alizopewa kwenye send off na kitchen party akachukuwa na kuanza nazo maisha kama single na akapelekwa kutibiwa kienyeji ndipo alipo mpaka sasa kwenye matibabu.

Reactions:

4 comments:

 1. Uamuzi wa huyu dada ulikuwa mzuri kweli....mana tusitake harusi kwa ajili ya kufuraisha watu.....maisha baada ya harusi ni kitu kingine kabisaaa....

  ReplyDelete
 2. big up kwa mdada.maana ingekuwa wengine,wangeng'ng'nia ndoa,b aadae wangeishia kulalamika

  ReplyDelete
 3. masikini dada wa watu, yani kavumilia miaka yote halafu hajaolewa? halafu kisa mwanamke mwenzake yani mahusiano siku hizi kasheshe.
  na hicho kimada pumbavu zake popote alipo yani kudandia mwanaume wa watu hata aibu hana,ukiona mpaka analoga basi hana mvuto ndio maana anang'ang'ania mwanaume wa watu, na huyo dada bora tu angeolewa kumzodoa hicho kimada basi tu watu wanatofautiana ingekuwa mimi ningeolewa matatizo ya ndoa kila mtu anayo kila mtu analalamika sio ishu matatizo yasiwepo kwani kaka yako yule mmenyonya ziwa moja. mwanamke ndoa bwana ama hamkumbuki ule wimbo wanawake wazuri wameolewa imebaki minung'aembe inaangaika. ndoa ndio muhimu mengine baadae

  mama p.

  ReplyDelete
 4. Hata mi ningeolewa kumkomesha huyo kimada. Kukataa kuolewa ni furaha kwa huyo firahuni fedhuli mtoto wa nduli. Nasikia siku hizi Tz wasichana wengi ni wanga kishenzi.

  ReplyDelete