Friday, September 30, 2011

SHANGA NA RANGI ZAKE...

mashosti leo tuongelee rangi za shanga, kwa wale wanaopenda kuvaa shanga najuwa wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa je ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote na kwa wanaume wanaopenda wanawake zao wavae shanga ni kusisimuana tu je mnafahamu zinamaanisha nini haya sasa..


katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.


rangi zenye maana kwenye sita kwa sita ni..


nyekundu, ukimkuta mwanamke amevaa shanga ya rangi hii unatakiwa kuelewa kwamba mwanamke huyu yupo kwenye hedhi, kwahiyo wewe fanya mengine lakini sio kutumbukia unless yeye mwenyewe amekuruhusu na wewe uwe na uwezo wa kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu ambacho kiafya akishauriwi).


nyeupe, ukimkuta mwanamke amevaa shanga nyeupe hii humaanisha hana tatizo lolote litakalomfanya asikupe raha ya sita kwa sita, kwahiyo ukitaka tu muda wowote unapata.


nyeusi, ukimkuta mwanamke amevaa rangi nyeusi hii humaanisha ya kwamba yupo tayari kukupa raha za sita kwa sita lakini uwanja wake haujakatwa majani, kwahiyo chaguo ni lako kama unataka kutumia sikunzima kutafuta goli haya, ama kama utamsaidia kumkatia majani uwanjani vizuri zaidi ama kama huwezi yote basi mpe muda akate mwenyewe.


hizo ndio rangi muhimu za shanga kwa wale waliokuwa hawajui, kwa uliyenitumia email kuhusu mada hii natumaini umeielewa vizuri.

Reactions:

2 comments:

 1. Mama Benja wa MbeyaOctober 2, 2011 at 1:26 PM

  Mimi nina mifano kamili. Hebu Tazama HAPA...

  http://maishamatamu.blogspot.com/2011/05/chachandumabinti-wa-kibaha-wamecharuka.html

  http://maishamatamu.blogspot.com/2011/04/swali-kwa-wanaume-hivi-kweli-bado.html

  http://maishamatamu.blogspot.com/2011/07/chachandu.html

  ReplyDelete
 2. Sasa mbona mnaishia tu kusema kama ukijuwa kutumia shanga zina raha yake ebu tuelezeheni wengine twa wakuta wenye shanga lakini hatuzumii kwa vile hatujuwi zinatuwaje. Swali lingine ni kuhusu ukubwa wa mwili wa kiume na kuridhika kwa mwanamke, hivi kuna uhusiona kati ya uchi wa kiume kuwa mkubwa na mwanamke kuridhika na tendo bila kujali upana ao udogo uchi? Na kama ukubwa ni tatizo ivi kuna dawa ya kuonge unene wa uchi wa kiume?

  ReplyDelete